Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Acheni acheni kejeri kama hizi vinginevyo uwe na ushahidi wahayo mnayomzushiya.
Na uombe kweli iwe kama unavyodhani vinginevyo unafanya dhambi mbaya sana.

Ushahidi upo wa wazi, tatizo ni wapi pa kupeleka huo ushahidi. Iko siku ushahidi utawekwa hadharani.
 
Magufuli atawatesa Sana kwa miongo kadhaa mpaka mje kumsahau.

Sisi tunamshukuru kwa kutuondolea watumishi hewa na kuweka mifumo imara kwenye payroll...SGR,BWAWA LA NYERERE,STAND MIKOANI,MIFUMO YA AFYA, AMANI KTK MIPAKA YA NCHI AMEIACHA SALAMA...pia kutujengea barabara maana yetu ndo kasimamia pesa tumetoa sisi.atabaki kwenye kumbukumbu mpaka wakati usio na kipimo...Mimi na wewe tutasahaulika ila sio magufuli na lazima siku moja kwenye noti awekwe ndipo utajua hujui.

Tena baada ya nyerere ndiye mtu anayeongozwa na kupendwa na wenye nchi..fanya tafiti DOA alilonalo katika UTAWALA wake NI lissu kupigwa risasi kwanini magufuli hakuchukua hatua za haraka yeye Kama rais wa nchi Kama hakuhusika alipaswa atoe kauli au afanye Jambo watu wawajibike...pamoja na hayo Bado wenye nchi wakikumbuka mazuri yake wanakosa say huenda ndiye au siye muhusika maana nchi yetu NI kubwa mno......all in all Bado NI rais ambaye hatakuja kutokea labda kidogo juma awesso namuombea Mungu amjalie boss wangu huyu siku moja awe rais wetu.
Jamaa anafaa sana juma nipe namba zake nishapotezaga niliibiwa ile simu
 
sasa wewe hemaphrodite

kwa sasa si kuna uhuru, HAO WATU WATAJE AKINA NANI WALIHUSIKA, NA MAJINA YAO!!

HATA LISSU ASEME WALIOTAKA KUMUU, KUBWA LA MAADUI SI KAISHA KUFA??

WEKENI WAZI KILA KITU SASA

BWABWA WE
Hizi ndio takataka za sukuma gang.
 
Back
Top Bottom