Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

naomba nikukumbushe kuwa shilingi inapande mbili......

Wengi wetu hatukuwa na faidika binafsi kutokana na maamuzi yake,chuki ikaota ndani.....

Kuna makosa aliyafanya kwa kujua ama kutokujua ila dhamiri yake ilikuwa ni nn hasa?
 
N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.

Naomba kuwasiliana.
 
Sisi tunamshukuru kwa kutuondolea watumishi hewa na kuweka mifumo imara...[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
 
Padre gani huyo?
 
Wote wanaomwandama hayati stahili Yao ni uchunguzi kwani hayati hakuwa na ajizi na makabaila. Ila Kwa kuwa tuko awamu fulani ndo maana hakuna wa kufanya hayo
 
Unahangaika na mitaahi.ra, kwa upeo wake wa kufikiri hao ndo "watanzania" pekee, kwamba JPM angewafurahisha hao na kuchukiza the majority.
 
Wazo zuri Lakini Swali firikishi:Unaenda kumfungulia kwenye mahakama Gani?Hizi za Tanzania ambazo majaji wanamsubiri Mkuu wa mhimili uliojichimbia zaidi awateue au mahakama zipi?
 
Vipi akina Askofu Mwingira walionusurika kufa mara tatu?

JPM anahusikaje. Hata Jana na juzi mimi nimenusurika Mara kumi. Unamjua Mwingira kwa Undani. Unajua adui zake. Yani JPM ahangaike na Mwingira ili iweje. Changamoto kubwa ya akili ndogo ni kujisahau. Unasema katiba ya Tz inampa Rais madaraka makubwa sana . Lakini upande wa pili unasema huyo Rais alimkosakosa Mwingira ( maneno yake tu) .

Kama ana madaraka makubwa yasiyohojiwa anashindwAje kumuua huyo Mwingira kupitia amri zake . Tuna makomandoo wangapi. Tuna magaidi wangapi duniani. Tuna professional killers wangapi duniani.

Ukitulia sana na kusoma waleta mada wa aina yako, na reasoning zao ndo utajua tz bado sana.
 
Mpuuzi mkubwa sana. Heshima ya magufuli hata walio hai hawana. Peleka hiyo kesi ntamuwakilisha jpm tuone kama utanishinda.

Nchi imerudi kama zamani upuuzi wote kazini, ujambazi, wizi nje nje afu unaongea ujinga?
 
N. B Nikishinda kesi hii Magufuli ataondolewa hadhi ya urais na kufutwa ktk kumbukumbu zote za kitaifa na nyaraka zote. Na hatasomeka kama mtu aliyepata kuwa rais wa nchi hii.

Naomba kuwasiliana.
Haiwezekani kumuondolea hadhi ya urais au kufuta kumbukumbu bali kutaweza kumuongezea sifa mbaya tu.
Kumbukumbu zitabaki kama Rais aliyewahi kufanya mabaya au mazuri akiwa madarakani.
 
Hivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Yaani Magufuli ni tishio mno Sasa hivi kwa wanasiasa wote ....hoja zake na matendo yake ni kaa la moto

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wazo zuri Lakini Swali firikishi:Unaenda kumfungulia kwenye mahakama Gani?Hizi za Tanzania ambazo majaji wanamsubiri Mkuu wa mhimili uliojichimbia zaidi awateue au mahakama zipi?
Atafungua kwenye mahakama ya MIGA, ile mahakama pendwa ya mr #dishlimetilt anayeshikishwa ukuta na wazungu kule ulaya.
 
Leta uthibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…