Nataka kumfungulia mchepuko wangu duka la bidhaa za kike (urembo) na watoto. Nipeni ushauri kuhusu bajeti na mahala sahihi hapa dar

Never haiko hivyo ukishaifungua hiyo ni yake. Huyo sio mfanyakazi ni mpenzi mwenye cheo cha mchepuko! Labda awe bwege

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, hamuoni anachofanyiwa vicky kamata. Mimi nilishakataa kuzidiwa akili na mwanamke kwenye mahusiano, yaan hata mwanamke anaeishi nyumba kubwa kuna kipindi alileta zongwe baada ya kuzaa first born lakn akaja kujua yeye pale anatambuliwa kama mfanyakazi wa ndani ndipo akatubu kwa kulia na kusaga meno, nilimuacha aendelee kukaa pale sababu tyr anajua mimi ni mafia kiasi gani hatorudia upuuzi ule.
 
Kuna siku utakunywa parakwati, ndugu waongeze ukaribu na wewe
 
Ila amkaze kisawasawa hadi jasho likauke.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitalufungulia kampuni ya Tours mrembo
Kubali kuwa wangu basi
 
Umeniwahi na mimi nilitaka kumtag huyu shem wangu @Lomomy
Shem michepuko haiwezi kuendesha biashara sababu ana duka lake binafsi la kuchepukia🤣🤣🤣
Hapo mwanaume mwenzenu atapoteza pesa hakuna mfanyabiashara.
 
Shem michepuko haiwezi kuendesha biashara sababu ana duka lake binafsi la kuchepukia🤣🤣🤣
Hapo mwanaume mwenzenu atapoteza pesa hakuna mfanyabiashara.
Shem mbona tumeshakubaliana na cocastic nimfungulie Duka la Kariakoo awe anachukua mzigo China na mwezi wa 11 anaanza biashara kwa hiyo unanishauri nizingatie haya maelekezo yako shem?
 
Sema unataka kufungua kibanda cha urembo. Acha kumsingizia mtu ambaye huna[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye hicho kibanda chako usisahau kuning'iniza bikini na shanga, zina wateja wengi sana
🤣🤣🤣 una macho ya rohoni
 
Shem mbona tumeshakubaliana na cocastic nimfungulie Duka la Kariakoo awe anachukua mzigo China na mwezi wa 11 anaanza biashara kwa hiyo unanishauri nizingatie haya maelekezo yako shem?
Shem ili kumpima km kweli anaweza aanzie mezani kwanza tumuone upambanaji wake ukoje?!!
Asiende China kabla hajaona soko linataka bidhaa gani ili kutengeneza mzunguko??
Kkoo inahitaji kujua wateja kabla hujaweka bidhaa.
 
[emoji23][emoji23] Kuna watu wanateseka wallahi, mi huyo ningemkata masikio na hatokaa anitishie eti kila kitu kitafika kwa mke wangu maana siogopi hata akienda mwambia yaani angejuta kunifahamu
 
Shem ili kumpima km kweli anaweza aanzie mezani kwanza tumuone upambanaji wake ukoje?!!
Asiende China kabla hajaona soko linataka bidhaa gani ili kutengeneza mzunguko??
Kkoo inahitaji kujua wateja kabla hujaweka bidhaa.
Shem ushauri umepokelewa na unazingatiwa
cc cocastic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…