Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Tupe namba ya mkeo kwanza tunataka tumfungulie duka la spea za subaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, hamuoni anachofanyiwa vicky kamata. Mimi nilishakataa kuzidiwa akili na mwanamke kwenye mahusiano, yaan hata mwanamke anaeishi nyumba kubwa kuna kipindi alileta zongwe baada ya kuzaa first born lakn akaja kujua yeye pale anatambuliwa kama mfanyakazi wa ndani ndipo akatubu kwa kulia na kusaga meno, nilimuacha aendelee kukaa pale sababu tyr anajua mimi ni mafia kiasi gani hatorudia upuuzi ule.Never haiko hivyo ukishaifungua hiyo ni yake. Huyo sio mfanyakazi ni mpenzi mwenye cheo cha mchepuko! Labda awe bwege
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahTupe namba ya mkeo kwanza tunataka tumfungulie duka la spea za subaru
Ila amkaze kisawasawa hadi jasho likauke.[emoji23]Dawa hapo jamaa arudishe mahaba na awe anaenda kulala kwa kumstukiza na kuendelea kupiga pipe halafu aluminium style ambazo zitakuwa zinabomoa fanicha za bidada kama chaga mara friji ianguke vyombo vivunjike TV ipasuke (style ya mguu ukutani) meza ilegee style ya kukanda chapati mezani nk. nk.
Biashara amuachie ahangaike nayo...[emoji28].
Ila amkaze kisawasawa hadi jasho likauke.
Sawa mkuuSasa huyo ni mshamba mkuu, mimi nataka niweowner na kila kitu hapo kinaandikwa jina langu. Sijaja mjini jana au juzi
Umeniwahi na mimi nilitaka kumtag huyu shem wangu @LomomyLamomy km una ujuz njoo usaidie hapa
Nitalufungulia kampuni ya Tours mremboBiashara yake lazima afanye research kuanzia frame , nini aweke na bei zake mie nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni ya tours ila huwezi niambia siwezi kufungua tours kama nataka eti kwa maana nilikuwa nafanyaga tu kazi . Hakuna mtu ambaye atajitoa kisa mtu mwingine afaidike
Shem michepuko haiwezi kuendesha biashara sababu ana duka lake binafsi la kuchepukia🤣🤣🤣Umeniwahi na mimi nilitaka kumtag huyu shem wangu @Lomomy
Shem mbona tumeshakubaliana na cocastic nimfungulie Duka la Kariakoo awe anachukua mzigo China na mwezi wa 11 anaanza biashara kwa hiyo unanishauri nizingatie haya maelekezo yako shem?Shem michepuko haiwezi kuendesha biashara sababu ana duka lake binafsi la kuchepukia🤣🤣🤣
Hapo mwanaume mwenzenu atapoteza pesa hakuna mfanyabiashara.
🤣🤣🤣 una macho ya rohoniSema unataka kufungua kibanda cha urembo. Acha kumsingizia mtu ambaye huna[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye hicho kibanda chako usisahau kuning'iniza bikini na shanga, zina wateja wengi sana
Shem ili kumpima km kweli anaweza aanzie mezani kwanza tumuone upambanaji wake ukoje?!!Shem mbona tumeshakubaliana na cocastic nimfungulie Duka la Kariakoo awe anachukua mzigo China na mwezi wa 11 anaanza biashara kwa hiyo unanishauri nizingatie haya maelekezo yako shem?
Muulize mwenyewe uyo mchepuko wako sio sisi maana yeye ana uzoefu na iyo biashara.
[emoji23][emoji23] Kuna watu wanateseka wallahi, mi huyo ningemkata masikio na hatokaa anitishie eti kila kitu kitafika kwa mke wangu maana siogopi hata akienda mwambia yaani angejuta kunifahamuJamaa mmoja aliingia cha city.. Alianzisha mahusiano nje ya ndoa na mchepuko ambaye hakuwa gongo la mboto mwisho wa lami
Baada ya muda mchepuko akaja na wazo la kupanga ili kupunguza gharama za gesti na pia kwa sababu za kiusalama.. Mwana kakolezwa kakolea
Akamwambia bidada atafute chumba.. Chumba kikapatikana akapewa hela akalipie miezi sita.. Akalipia akapewa na mkataba kwa jina lake mpangaji
Maisha yakaanza na godoro alilopewa pesa akanunue, akanunua sita kwa sita na risiti yake kabisa kwa jina lake.. Mdogo mdogo akawa ananunuliwa vitu vya ndani na hata wakienda wote risiti alikuwa anachukua yeye kwa jina lake
Mambo yakaendelea mpaka akafunguliwa biashara ya duka la vinywaji na bites.. Na ili akopesheke ikabidi awe na leseni ya bishara.. Mkataba wa pango, leseni friji na kila kitu vyote alikuwa anaandika majina yake japo pesa hatoi yeye
Baada ya mwaka bidada akaanza kusumbua anataka atambulike rasmi kama mke mdogo! Jamaa akaona huu mtihani sasa dini yake haimruhusu kuoa wake wawili
Bidada visa vikazidi jamaa akikataa kulala kwake anamtishia ataleta mwanaume mwingine.. Baadae ikawa ni ugomvi kila wakati
Jamaa akaona isiwe tabu akaamua kubwaga manyanga kunusuru ndoa yake..lakini akaamua achukue kila kitu alichomnunulia yule mchepuko
Siku ya siku kaja na canter achukue vyake binti kakimbilia kwa mjumbe kwamba anaibiwa.. Jamaa kuja kuulizwa anasema ni vitu vyake kaamua kuvichukua akaombwa ushahidi hana
Binti yeye katoa mikataba na rundo la risiti kwa kila alichokuwa ananunuliwa.. Risiti zote zilikuwa kwa majina yake kuanzia nyumbani mpaka kwenye biashara.. Jamaa kabaki katumbua macho
Kwa panic na hasira akawa anachimba mkwara wa kumfanyizia mchepuko wake.. Akaambiwa akithubutu ajue kila kitu kitafika kwa mkewe.....[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shem ushauri umepokelewa na unazingatiwaShem ili kumpima km kweli anaweza aanzie mezani kwanza tumuone upambanaji wake ukoje?!!
Asiende China kabla hajaona soko linataka bidhaa gani ili kutengeneza mzunguko??
Kkoo inahitaji kujua wateja kabla hujaweka bidhaa.