Yes, wastani wa faida sio revenueMil 8 kwa mwezi?
113 na 124 ni roho ya paka. Halafu hazina mambo mengi kwenye mifumo yake kwenye injini.Kwa pesa ya kwanza nakushauri tafuta 113, 124 na kisha zifanyie maengenezo ya kutosha ndipo uweke barabarani. Tatizo la R420, R440 zinahitaji uwe na akiba walau isiyo pungua 30millions just for emergency. Pia spare zake ni ghali sana pale SubScania, na hata sisi mafundi tunawachinja sana wamiliki wa R.
Mwisho nikukumbushe tu usisahau kukata bima kubwa yasije yakajutokea kama yule mama.
Pia biashara ya usafirishaji unapo ianza nivyeme ukaisimamia mwenyewe kwa ukamilifu na kila hatua, hii itakusaidia kupata uzowefu wa magonjwa ya magari pia jinsi ya upataji mizigo pasipo kupitia madalali.
Kwa pesa ya kwanza nakushauri tafuta 113, 124 na kisha zifanyie maengenezo ya kutosha ndipo uweke barabarani. Tatizo la R420, R440 zinahitaji uwe na akiba walau isiyo pungua 30millions just for emergency. Pia spare zake ni ghali sana pale SubScania, na hata sisi mafundi tunawachinja sana wamiliki wa R.
Mwisho nikukumbushe tu usisahau kukata bima kubwa yasije yakajutokea kama yule mama.
Pia biashara ya usafirishaji unapo ianza nivyeme ukaisimamia mwenyewe kwa ukamilifu na kila hatua, hii itakusaidia kupata uzowefu wa magonjwa ya magari pia jinsi ya upataji mizigo pasipo kupitia madalali.
113 & 124 spare zapatikana kiurahisi na gharama nafuu. Kuliko hizi P.G.R. series gharama na ufundi ni pasua ukichwa usipo kuwa makiniBima sawa.. ila hapo kwenye gharama za matengenezo ndio sijakuelewa kabisa.. nilidhani 113 etc ndio zina gharama zaidi.
Ilikuaje break zikagoma kwa yule mama wa mto Wami? Sio uchakavu?
Kuvuja kwa mafuta ya breki na kuisha/uchakavu wa breki pads/shoes, ndio common problems ambazo hupelekea breki kufeli.Ilikuaje break zikagoma kwa yule mama wa mto Wami? Sio uchakavu?