Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakukubalia kabisa ulichosema mkuu, upo sawa mchina sio mtu mzuri.Hamna gari humo, ukizitumia muda mrefu ni miaka mitano (probably haifiki) kati ya mitatu na mitano... hizi scania, Volvo, benz mjukuu wako anazikuta bado zinapiga route ya dsm lubumbashi
Nimepata kama mil 100 baada ya kuvuna vanila huko Bukoba. Sasa nahitaji nijiingize kwenye biashara ya usafirishaji na wazo langu ni kununua scania kama kwenye picha.
Nimepanga kuanza na moja kutokana na kiasi nilicho nacho.
Naomba wenye uzoefu, kama biashara ikienda vizuri, kwa mwezi naweza ingiza kiasi gani?View attachment 1484199
Dereva anapeleka mzigo mkoa wa Rukwa ikifika wakati wa kurudi anakwambia hamna mzigo. Kumbe kapakia tani saba za mahindi anapeleka Manzese kushusha.Biashara kichaa hiyo
Mwanzo mgumu mkuuNimesha cheza kidogo na daladala, sema mwanzi naanza niliwahi ugua kabisa ila baadae nikawa nachukulia poa tuu.
Si unaweza kufunga security camera ya kisiri ambayo ipo linked na simu unaona live kama gari ina mzigo au la? Ni wazo tu sijawahi kuona lakini naamini kuna technolojia hii.Dereva anapeleka mzigo mkoa wa rukwa ikifika wakati wa kurudi anakwambia hamna mzigo.kumbe kapakia tani saba za mahindi anapeleka manzese kushusha.
Kuna technology siku hizi, hawezi kukudanganya, una monitor kila kituDereva anapeleka mzigo mkoa wa rukwa ikifika wakati wa kurudi anakwambia hamna mzigo.kumbe kapakia tani saba za mahindi anapeleka manzese kushusha.
So kama ni scania apite na 124L sio? tandamu... unanishawish mkuu.. mimi nilikuwa na target ya kuchukua kipisi 94 badala ya tandamMkuu mie nakushauri anza na Fuso Tandam ndio utapiga pesa zaid. Ninakushauri hvo kwa kuwa hapa home tuna Scania tatu na Fuso mbili ila Fuso ndio zinapiga kazi kuliko Scania.
Na pia km ni Scania kwa wewe unaeanza sikushauri kwa kuwa ni sumbufu sana hasa ikishaanza kuchoka. Scania za kukutoa umaskini ni zile model za kizaman.
Na pia wanaokushauri kuhusu magari ya abiria naomba usiwasikilize kabisaa, maana yana changamoto nyingi sana. Mie binafsi nina Nissan Caravan mbili ila ni kichefu chefu kitupu.
NB: nimekushauri kutokana na uzoefu wangu wa kuishi na hayo magari kwa muda mrefu.
113 au 124 mkuu, ila R420 ndio hovyo kabsa, sie moja ilikuwa ikitembea wakat mvua inanyesha inakuwa haifunguki zaid 60kph.so kama ni scania apite na 124L sio ?? tandamu...unanishawish mkuu.. mm nilikua na target ya kuchukua kipis 94 badala ya tandam
Gharama za uendeshaji je.. kipisi vs Tandam..mizan inalala wap?113 au 124 mkuu, ila R420 ndio hovyo kabsa, sie moja ilikuwa ikitembea wakat mvua inanyesha inakuwa haifunguki zaid 60kph.
Pia kipisi hata 93 iko bomba saana, ila tu tandam ni bora kulikon kipisi kwa sababu ya masuala ya mizani
Kama unavyojua kwny utumiaje wa mafuta Fuso inatumia kidogo zaid kulinganisha na kipisi, pia Fuso Tandam inapakia had tani 16 na ikipita mizan sio shida.Gharama za uendeshaji je.. kipisi vs Tandam..mizan inalala wap?
Kama unavyojua kwny utumiaje wa mafuta Fuso inatumia kidogo zaid kulinganisha na kipisi, pia Fuso Tandam inapakia had tani 16 na ikipita mizan sio shida.
Ila kipisi ukipakia tani 16 lazima upigwe faini kwny mizani, kuna kitu wanaita GVT km sikosei yaan uzito wa gari ikiwa tupu kwa Kipisi inakuwa nzito zaid. Ndio maana kwny mizan inazid
Sie sana Tandam zinapga kazi kwenda kupeleka mahindi huko kwa Usukumani. Gari inakodishwa hadi 1.6 milion kwa trip na ukitoa gharama ya kila ktu had kulipa vijana inabaki hadi 1.1 milion.
Na gari ndani ya siku mbili tu inakuwa imeshaenda na kugeuza.
Mkuu mie ni mvivu sana ku-type text ndefu ila nadhan nmejitahid kadri ya uwezo wangu
Ingeoendeza ziaidi kama mngetuwekea na picha Tandem vs Kipisi
Upande wa service je?? Tandam vs kipis.. gharama ni sawa au kuna mwenye afadhal?Kama unavyojua kwny utumiaje wa mafuta Fuso inatumia kidogo zaid kulinganisha na kipisi, pia Fuso Tandam inapakia had tani 16 na ikipita mizan sio shida.
Ila kipisi ukipakia tani 16 lazima upigwe faini kwny mizani, kuna kitu wanaita GVT km sikosei yaan uzito wa gari ikiwa tupu kwa Kipisi inakuwa nzito zaid. Ndio maana kwny mizan inazid
Sie sana Tandam zinapga kazi kwenda kupeleka mahindi huko kwa Usukumani. Gari inakodishwa hadi 1.6 milion kwa trip na ukitoa gharama ya kila ktu had kulipa vijana inabaki hadi 1.1 milion.
Na gari ndani ya siku mbili tu inakuwa imeshaenda na kugeuza.
Mkuu mie ni mvivu sana ku-type text ndefu ila nadhan nmejitahid kadri ya uwezo wangu
Yaani mimi kila nikimkumbuka yule mama ambaye lori lake lilitumbukia mto wami nakosa hamu kabisa ya magariJifunze kuwa na moyo wa chuma kwanza, ukiskia ata mtoto wako ameugua unasema sawa uku ukiendelea kunywa kahawa.
Apo utafanikiwa kwenye vyuma vya moto
Ungeanza hata coaster hata 1kwanza. Ujifunze game
Tanzania yapo magari mangapi?? Yote yametumbukia? Biashara zote zina risk mkuu, na zote zina risk za kuhatarisha na kuua mtaji wote, ndio maisha yalivyo, tuna options mbili tu either tufanye au tusifanye.Yaani mimi kila nikimkumbuka yule mama ambaye lori lake lilitumbukia mto wami nakosa hamu kabisa ya magari