Nataka kumpeleka binti yangu(Mkristo) kwenye seminary ya kiislamu iliyopo Dar (wanasoma day). Je, ipi ambayo haina masharti ya kutaka awe muislamu?

Nataka kumpeleka binti yangu(Mkristo) kwenye seminary ya kiislamu iliyopo Dar (wanasoma day). Je, ipi ambayo haina masharti ya kutaka awe muislamu?

Muislamu kwenda kwa mkristo sio shida kwake ila mkristo kwenda kwa muislamu kubali kubadilika kufata yake na utajikuta umebadilisha dini kabisa kuwa muislamu.
Ni meshuudia kuna jamaa alikwenda mjini kutafuta maisha na alipofikia ndio alibadilishwa huko.
sio shida asilimia 90 inawezekana
 
Hata ukimpeleka shule ya wachawi wako jiamini, mpeleke tu
 
Back
Top Bottom