Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

One man Down! One Man Down!.. rescue team we need your fu...** assistance Copy!
 
Jf kisima cha burudani. Kila siku watu wanatengeneza wasifu mpya. Leo mwana JF anaweza kuwa wa kike, kesho dume. Leo mleta mada anataka kuoa akati siku zingine ni married man mwenye watoto watano ndani ya ndoa na mahawara wenye watoto 10+.

Na ana mpango wa kuendeleza libeneke, hana mpango wa kuacha hizi mishe. Unless mtajwa anajisikia kuongezeka kwenye list, asijaribu. Nweiz..it is what it is. Pambaneni...
 
Unakaribishwa
 
Kuwa mpole
Kuwa na hekima
Kuwa na subira.

Hilo jina ni kama linashabihiana na mwenye kumiliki hisia zangu pia.

Mapenzi bila vita hayanogi.
Jiandae kwa mpambano. Jina lake linaanzia D na ukiona siyo mwenyewe basi pita hivi👇
Nilijua tu 🤔
 
Back
Top Bottom