Nataka kumuoa mdogo wa mke wangu, hii imekaaje kisheria?

Nataka kumuoa mdogo wa mke wangu, hii imekaaje kisheria?

Mkuu umeshamgegeda na Shemeji mtu nini?!😀😀😀 Afu hiyo hamu isiyoisha umeitoa wapi .........
 
Umeshasema haujali jamii itakuonaje alafu bado unataka tukushauri?

Deluded moron!
 
Kwa dini ya kiislam hairuhusiwi,labda mkeo afariki
 
Sijui kuhusu sheria ila kimapenzi mkeo ame-prove kuwa hakupendi hata kidogo

Sijui kama na wewe umeligundua hilo
you are right hana hisia nae kabisa na ameamua kuoffload kwa mdogo wake aaah ...aaaahah labda alideclare asivyompenda mumewe hila mdogo wa mke( mtu )akaonekana kuwa na huruma na shemejiye akaulizwa kama vipi nikuwachie wewe kama veepe!?
 
kula mayai yote ukiimaliza kamla na kuku aliyetaga ni maisha yako
 
Duh hizo nguvu imekuwa kazi tafuta hobby nyingine za kufanya za kukupunguzia muda wa ngono kila siku.Kuwa bize!!! Au nenda kwa G MONEY ukampige gwaride la nguvu
 
Mkeo safi sana unaweza mniazima kwa muda, naitaji ushauri wake maana inaelekea yuko na idea nyingi sana
 
Hahahahaha mi msikilizaji tu maana sijui lolote kuhusu ndoa na kashkash zake
 
Hata kama umedhamiria kufanya hilo,nikushauri tu usifanye hivyo! Utaleta maafa ya zamani si ya sasa,mtunzie heshima mkeo na familia yake,onyesha ustaarabu wako Mbele ya jamii huwezi kusema hujali jamii wakati sisi sote tunaishi ndani yake! Kama uzalendo ukikushinda basi tafuta mke wa pili mbali na familia hiyo
Mbona wewe hukujali jamii ukaolewa na rafiki wa mumeo au kisa wako alifariki ndo you think its different?
 
Mbona wewe hukujali jamii ukaolewa na rafiki wa mumeo au kisa wako alifariki ndo you think its different?
Hata kama Mimi nilikosea jamii haimaanishi kua sistahili huwaambia wengine wajaribu kuheshimu jamii wanaoishi Nazo na kitu kikubwa zaidi mume wangu alikua ni rafiki wa Boyfriend wangu,hakua ndugu yake wa damu ni urafiki tu ulioanzia kazini,lakini pia marehemu hakubahatika kunioa.

Hiyo ndio tofauti yetu Mimi na mtoa mada,hao wawili ni ndugu wa damu moja, ukoo mmoja na unaweza kukuta ni baba mmoja na mama mmoja, lakini pia kaka amejinasibu kua ameoa na kwa hakika ndoa huunganisha familia,huunganisha undugu
 
Back
Top Bottom