Hata kama Mimi nilikosea jamii haimaanishi kua sistahili huwaambia wengine wajaribu kuheshimu jamii wanaoishi Nazo na kitu kikubwa zaidi mume wangu alikua ni rafiki wa Boyfriend wangu,hakua ndugu yake wa damu ni urafiki tu ulioanzia kazini,lakini pia marehemu hakubahatika kunioa
Hiyo ndio tofauti yetu Mimi na mtoa mada,hao wawili ni ndugu wa damu moja, ukoo mmoja na unaweza kukuta ni baba mmoja na mama mmoja, lakini pia kaka amejinasibu kua ameoa na kwa hakika ndoa huunganisha familia,huunganisha undugu