Nataka kumuoa mdogo wa mke wangu, hii imekaaje kisheria?

Nataka kumuoa mdogo wa mke wangu, hii imekaaje kisheria?

Kwa sisi wajaluo ruksa kuoa hata zaid ya wawili kutoka kwa mkeo
 
Hah
Mkaze kwanza uone kama yaliyomo yamo


Kuna mkuu wa chuo udsm aliyepita miaka kadhaa alikuwa kaoa mtu na dada yake.


Wana kwambia mavi hayana ncha lkn ukiyakanyaga lazima uchechemee
hahahahaha!
 
Hata Biblia kwenye story ya Jacob alibeba ndugu wawili kuwa wake zake na bado alipata mibaraka
 
Ni kosa kwa mujibu wa sheria ya familia. Sihitaji kukutajia kifungu lakini elewa fika kuwa ni kinyume cha sheria.
 
Huwezi kufungwa madam wote wamepitisha umri wa kafanya waitwe watoto. Sema sijui umri wako wa sasa. Maana utafika muda nguvu zitapungua. Na hao utakua nao wawili. Nao wakikuomba uwaletee mdogo wako sijui itakuwaje. Si Wanasema what goes arround comes arround
 
Yaani ni bora ukamdanganya mkeo na kuchepuka kuliko kuzini na mdogo wake, kumbuka kwamba kiblia wewe na mkeo baada ya kufunga ndoa kanisani mnakuwa mwili mmoja.

Hivyo kuzini na shemeji yako inakuwa kama umezini na mgodo wako wa damu, otherwise wote hampendani na mnaanzisha tabia za kuku, kila awaiye kubarehe humparamia yeyote.
 
Back
Top Bottom