Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Oh sawaHata kama Mimi nilikosea jamii haimaanishi kua sistahili huwaambia wengine wajaribu kuheshimu jamii wanaoishi Nazo na kitu kikubwa zaidi mume wangu alikua ni rafiki wa Boyfriend wangu,hakua ndugu yake wa damu ni urafiki tu ulioanzia kazini,lakini pia marehemu hakubahatika kunioa
Hiyo ndio tofauti yetu Mimi na mtoa mada,hao wawili ni ndugu wa damu moja, ukoo mmoja na unaweza kukuta ni baba mmoja na mama mmoja, lakini pia kaka amejinasibu kua ameoa na kwa hakika ndoa huunganisha familia,huunganisha undugu
Sawa....nitakutafuta nihitaji vile vitabu ......hahahahaha sawa chupa ngapi
Sawa,kama ya Magufuri sawa oa hukatazwi,maadamu asiwe mwanafunzi Tu basi.Ya magufuli
Kimila za kwetu huku ni ruksa mtu na ndugu yake kuolewa na mwanaume mmoja,
Kuna shida ya nguvu za kike lakini mlete nimpe tiba ya kupandisha nyege ili usimuoe mdogo wake
Ndugu watanzania wenzangu hapa nilipo nipo kwenye mtihani mgumu sana wa kimaisha nashindwa nini cha kuamua, kiufupi nipo kwenye dilema.
Ki ufupi nimeishi na mke wangu karibu miaka 10 na tumebahatika kupata watoto 2. Kipindi chote cha mahusiano yetu tunaishi kwa furaha, amani na upendo...
Hilo ni janga sister, mada nyingi humu me zinalakamika eti ke nyingi zikikojoa hazitaki tena mpk after wiki, na unakuta mtu Bado ana miaka 20-40, je akifikia menopause itakuwaje!!!hahahahah kapeace unanifuerahisha ujue !dah we baadaye utakuwa mganga wa kienyej walah! dah hv na wanawak hamu huwa zinakuwa chini eh ? bas km ni hvyo ni wanawake weng sana wanaugua 'malazi' hayo aisee !nimecheka sana
Hilo ni janga sister, mada nyingi humu me zinalakamika eti ke nyingi zikikojoa hazitaki tena mpk after wiki, na unakuta mtu Bado ana miaka 20-40, je akifikia menopause itakuwaje!!!
Hii sasa ni kihisia lkn wapi wasioweza kuhandle kitanda kwa muda mrefu au kurudia rudia tendoshoga mie sio Dk ! hii nadhan inapelekea sana na mahusiano yako na men wako ! mume hakutreat poa hizo hisia za kurudia rudia nazipatia mtaa gan jaman !ah watutue