Nataka kununua gari kwa mara ya kwanza kutoka Sbt japan. Msaada wa procedures.

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi.

Twende kwenye mada.

Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi kuishusha bandarini.

Kwa sasa gari ninayotaka naona Beforward Bei kubwa nimetembelea mtandao wa SBT naona kuna afadhali na quality nzuri zaidi.

naomba wazoefu wanijuze kidogo niepuke parody accounts.
 
waache kulipisha watu pesa ndefu ya kuhifadhi gari ikifika hapa, wana longolongo sana hao wahindi, kuwa nao makini. na ukifanya makosa kuwapigia simu au kuwaandikia email, miaka 5 mbeleni hata kama umeshanunua gari wataendelea kukupigia kukukumbusha kuwa ununue gari as if hujamalizana nao. anayeongea ni mhindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…