Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Baja ya kizamani mnoKTM unyama mwingi mnoo. Nillipata moja kwa 7m ila mfuko ukagoma ila ni kitambo sana
Pia anaweza tafuta BAJA 250cx/ Honda XLR 250cc sio mbaya
NakaziaSomtime unapo taka kufanya ukipendacho haina haja yakutaka ushauri wazee wanatakiwa waone matokeo tuu
Ninayoitaka ina 1200ccKuna friend ana piki piki ya 1000 cc! Sijawahi kuendesha kitu chenye mbio kama ile piki piki. Inachomoka kama mshale!
Na hiyo inakutoa roho kama mshale shwaa[emoji28]Kuna friend ana piki piki ya 1000 cc! Sijawahi kuendesha kitu chenye mbio kama ile piki piki. Inachomoka kama mshale!
Mie nilikuwa nayo ya 400cc!
Mkuu Mgibeon , asante kuni tag,Pascal Mayalla zungumza jambo hapa Mkuu.
Mkuu Villky_J , mimi ni bike lover, kwanza anzia hapa Pascal Mayalla apata ajali..... kisho soma shukrani zangu Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!Habari zenu wadau....bila shaka ni wazima wa Afya.
Kuna jambo linanitatiza naombeni ushauri wenu. Nilipanga mwaka 2023 angalau ikifika tarehe 01 January niwe na kausafiri kangu (Gari) walau isiyozidi Mil 13.
Sasa kutokana na mambo kutokwenda sawa nimejikuta nina kama Mil 7 mkononi...sasa nikaona wazi wazo langu haliwezi kutoboa, hata nikataka kuchukua kagari mtaani katakuwa ka hovyo
Wazo nikalihamishia kwenye bike off course napenda sana piki piki.
Kwa amount hiyo kwa yule mwanangu wa zanzibar sele mapikipiki napata kawasaki safi kabisa na chenchi kidogo inabaki
Sasa nikasema niulize wadau wawili watatu wanipe maoni yao....kila ninaemshirikisha anasema bro naona umeyachoka maishahuna muda tutakuzika achana na hayo mavitu....sasa naona ni bora nisingeulizwa nimeingiwa na hofu kubwa jambo ninaliuliza hata gari unaweza pasta ajali kikubwa ni umakini tu...
Sasa naombeni ushauri wenu nipo so confused
View attachment 2450153
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
JF kuna watalaam wengi, kuhusu Bike najua wewe ni kinara, na kama kufa na Bike basi kitambo sana tungeshakusahau, ila Mungu ni mwema kila wakati.Mkuu Mgibeon , asante kuni tag,
Mkuu Villky_J , mimi ni bike lover, kwanza anzia hapa Pascal Mayalla apata ajali..... kisho soma shukrani zangu Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
Inaendelea
P
Nashukuru bro Pascal Mayalla nimejivunza kitu kikubwa hakika nisipofanya maamuzi sahihi itakuwa ni ujinga wangu mwenyewe sina wa kumlaumuMkuu Mgibeon , asante kuni tag,
Mkuu Villky_J , mimi ni bike lover, kwanza anzia hapa Pascal Mayalla apata ajali..... kisho soma shukrani zangu Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
Inaendelea
P
Sina uwezo wa kuchukua mpya mkuu...nachukua used ila zipo kwenye hali nzurini piki piki nzuri japo kwenye price sidhani kama uko sahihi maana tuliyokuwa nayo tuliiuza 24m na ilikuwa na 320km phr
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Balaa kama Ractis ndio hazinivutii kabisa nilikuwa nataka ka subaru impreza sasa ndio hvy mambo yamegomaHiyo ml saba unapata ractis safi kabisa ndugu ndugu hapa ninapotype mwili wote na mkono unauma vibaya mno,ni takribani wiki mbili tangu nipige mzinga mmoja matata sana wa piki piki nikaapa mimi na piki piki basi tena jichunguze tabia yako kwanza katika chombo kinahitaji uwe mwanaume na sio mvulana basi ni piki piki na kingine nilichogundua unawez kuwa makini sana lakini akatokea jamaa wa visendo na kiduku cha rasta akakusababishia ajali kwa ujinga wake ,nb kanunue gari