Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kuna jamaa yangu kaweka milioni 500 ya kukusanya mpunga tu,,yaani mwaka huu watu wenye pesa ndefu nao wameingia kukusanya mpunga
Ndio ambayo Said Salim Bhakressa alihangaikia hadi sahivi anawauzia ving'amuzi vya tv mnaangalia na kumlipa 10,000 kila mwezi.Hivi unanunua mchele let say kwa 1000@kg! May...then dec uje uuze kwa 1800-2000@kg! Means nahangaikia 1000@kwa miezi yote hiyo!!!!!!!!
200×30000=6,000,000 kwa miezi 12 ni sawa na kujilipa 500,000 kila mwezi.Sio mbaya inalipa kama sio mtu wa tamaa za vikubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ambayo Said Salim Bhakressa alihangaikia hadi sahivi anawauzia ving'amuzi vya tv mnaangalia na kumlipa 10,000 kila mwezi.
Huku vijana wake wakisimamia land reclamation na kukita project ya Fumba land katika fukwe la zanzibar.
Ila mbona naona raia wana kimbiza tu hapo mjini michele ya kusambaza ile.Ah jombaa miaka ile deals zilikua nje nje .chocho sana...sio sasa aisee..nakataa! Sema ni bora kuliko kukaa bila mishe!
Inaenda ndiyo...!Ila mbona naona raia wana kimbiza tu hapo mjini michele ya kusambaza ile.
ukitaka kupiga hesabu rahisi, chukua hyo 1000 kanunue box la viberiti uza kila siku box moja kwa muda sawa na ambao sawa na kuweka stock mchele.......uone hyo elfu moja itakuwa imekuingizia sh ngapi ndani ya huo muda then ulinganishe na biashara ya kuweka stock uone km INA tija!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu hawajali time value for money kabisa.
Mambo ya Present Value, Future Value na Payback period hayakufundishwa kwa bahati mbaya.
Unaambiwa sikuzote mradi mzuri ni ule unaorejesha hela ya msingi mapema kuliko unaochelewesha.
Hapo nakubaliana na ww..usihifadhi ww uzsKama unachanel ya wateja mtoa mada uza tu huo mchele hayo mambo ya kusubiria bei ipande itakupotezea pesa kwan mchele kila siku watu wanakula watajibana kwenye kuvaa na kujenga lakn syo kwenye kula binafsi nipo lindi vijijin huku ninauza mchele kwa rejareja kuna bosi mmoja anachukua mchele ifakara na kuupeleka masasi huwa anashusha humo njian kwa wateja yaan mwaka mzima anakimbiza tu alafu anapita na semi mzima then baada ya wiki unashangaa tena anapita na semi so hii biashara ya mchele inafaida sana kwa hawa wazee wa jumla na tena ukiwa h
Kama huna tamaa ya kupata faida kubwa utakimbiza sana.
Kama unachanel ya wateja mtoa mada uza tu huo mchele hayo mambo ya kusubiria bei ipande itakupotezea pesa kwan mchele kila siku watu wanakula watajibana kwenye kuvaa na kujenga lakn syo kwenye kula binafsi nipo lindi vijijin huku ninauza mchele kwa rejareja kuna bosi mmoja anachukua mchele ifakara na kuupeleka masasi huwa anashusha humo njian kwa wateja yaan mwaka mzima anakimbiza tu alafu anapita na semi mzima then baada ya wiki unashangaa tena anapita na semi so hii biashara ya mchele inafaida sana kwa hawa wazee wa jumla na tena ukiwa h
Kama huna tamaa ya kupata faida kubwa utakimbiza sana.
Kwenye mpunga hawaingii, mpunga hata miaka mitatu, unatunza tu, ila mchele miezi mitatu tu, lazima tu uwaone, na huwa sio kuwa wanatoka nje bali huwa wanatokana na uvundo uvundo wa mchele, ni kama funza funza hivi.Asante kumpa ushauri. Kwani hao wadudu hawaingii kwenye mpunga?
Nunua mpunga ndo unahifadhikaPoleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua mchele wa mwaka huu niuhifadhi niuze hapo baadaye.
Je, kuna athari yoyote?
Wazo zuri unaweza kuja kuuza katika kipindi cha sikukuu kama Christmas na zingine ambapo bei inakuwa nzuriPoleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua mchele wa mwaka huu niuhifadhi niuze hapo baadaye.
Je, kuna athari yoyote?
Mama yangu but it worth money [emoji3]U gat my point...sasa ukikusanya kilo 600 sanasana utasumbukia 2-3m for 6mths! Ndo ukichaa naomanisha mie
Mama yangu but it worth money [emoji3]
2-3 mil for a beginner with determination it worth.
2×2×2×2 =16
Haba na haba hujaza kiaba so ndio[emoji3][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app