Nataka kununua mchele wa mwaka huu halafu niuuze baadaye

Mkuu ulikumbuka kutoa sadaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauzia qapi na bei gani nije nipate hata gunia mbili niweke kwenye kibanda vhangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka mpunga au mchele??? Km mchele ninao super shinyanga
 
Hakikisha umenunua kwa bei ndogo kwa lengo la kuuza mwakani.. Mwaka huu kutakuwa na mavuno ya kutosha na soko la uhakika, hivyo bei zitakuwa za wastani.
Ila mwakani! Mmh....
Daah . . mkuu, mwaka huu ngoma itakua nzito kwa sababu World Food Programme imeshatangaza kwamba kuna uwezekano wa njaa mwaka huu. Anunue tu atapata boom mwishoni mwa mwaka huu
 
Aisee wewe mpambanaji sana, fursa nyingi ushazichangamkiaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo muda boss! Unaizika hela yako kwa muda mrefu sana .anywys kupanga ni kuchagua
Muda wa MO na Backresa unaujua wewe,kule vingunguti walianza miaka na miaka mbona hawajalalamikia muda,Naomba tumuunge mkono wazo lake liko smart less compered na wasomi wengi
 
Muda wa MO na Backresa unaujua wewe,kule vingunguti walianza miaka na miaka mbona hawajalalamikia muda,Naomba tumuunge mkono wazo lake liko smart less compered na wasomi wengi

Mkuu afanye asifanye wala mimi hainiathiri chchote...kila mtu ana uhuru wa kuchangia! ...kwamba unadhani nilikua namkataza? Ameweka maoni watu tumetoa maoni yetu! Relax
 
Unahujumu uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu wanakatisha tamaa kabisaa hakuna biashara isiyokuwa na changamoto Cha msingi ni uvumilivu, Mimi hii biashara ya mchele nafanya sana hiyo interval ya miezi ndio nadeal nayo tena inalipa sana.

Nunua mpunga mzuri na uliokauka Bei inategemea ila Mimi nilipo shilingi inazaa shilingi weka stock subiri Bei ikae sawa then koboa mchele uza utaleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu hapa watu wanatoa maoni yao..wengine walishaifanya .wengine ndo hizo hofu za muda! Ni mhusika kuamua tu yeye na idea yake!/watu negative hatukosekani! Ukiskiliza ya watu hutafanikiwa..miluzi mingi....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…