Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Hii sio "individual" bali ni "ace 125". Individual taa yake ni jicho la panzi.
Hakuna Honda ya mJapan yenye bei za Skygo na ToyoWadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Zinatengezwa afrika kusini zipo kwenye bei ya promosheniHakuna Honda ya mJapan yenye bei za Skygo na Toyo
Muongezee pesa kidogo anunue kagari mkuu
njoo nikuuzie yangu hii utanipa milion 1 point 8 tu haipungui hata mia.View attachment 2574000
ilala dsmUko wapi?
Spea na ucheap wa service sio kigezo kwangu.Nunua tvs 125 au boxer 125...au tafuta 110 za mchina ....service yake ni cheap na spea ni nyingi sana
Ubora hazitofautiani hizo...labda uagize japanSpea na ucheap wa service sio kigezo kwangu.
Kigezo ni ubora
Nunua tvs 125 au boxer 125...au tafuta 110 za mchina ....service yake ni cheap na spea ni nyingi sana