Nataka kununua pikipiki Honda Ace 125 Individual. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya kwa level yake na bajeti?

Nataka kununua pikipiki Honda Ace 125 Individual. Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya kwa level yake na bajeti?

Ngoja wataalamu waje.

Kwa wasio ijua (cc125)

images.jpeg
 
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.

Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.

Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.

Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Hakuna Honda ya mJapan yenye bei za Skygo na Toyo
 
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.

Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.

Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.

Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda

Tatizo lake baadhi ya spare kuzipata ni shida bora ununue ya kichina.hiyo honda kwanza spare bei juu ila ukifunga umefunga
 
Nenda kwa mchina au mdosi hizo za SA spare pasua
 
Honda ni spoku siyo hayo matairi maringi ndio maana bei yake ni ya Toyo

Tafuta maafisa elimu kata wanazo ziangalie zile ndio honda

Hiyo unayosema ni Toyo iliyochangamka
 
Nunua tvs 125 au boxer 125...au tafuta 110 za mchina ....service yake ni cheap na spea ni nyingi sana
 
Back
Top Bottom