Nataka kununua Toyota Crown Althele

Kote umeelezea vzuri ila Mshahara wa laki 5 hapo sikubali
 
Kote umeelezea vzuri ila Mshahara wa laki 5 hapo sikubali
Hapo nimekopa umebak lak tano na ishirini na point, ila utumish wa uma kuna extra duty, night na nina biashara ndogo ndogo ndio zinasaport kidogo, ila all in all ukimilik gari bac mungu nae anafungua milango utapata tu ela ya mafuta na hii mm ni gari yangu ya kwanza, zingine nilikua nagongea kwa wat
 
Why 2006 na sasa iv tuko 2023 ndg
Miaka 17 ni umri wa mtoto wa form 3 km sio form 4 afu ww unataka ununue gar yenye 17yrs

Ni mawazo yangu tu
Usijifanye Fundi kujua, watu wananunua Hino Ranger ya 1996 kwaajili ya biashara na gari bado kama yote vile
 
Achana na 4GR za 2004-2005

Mkuu changamoto ya hizo ni nini?.maana naona nyingi ndio zinauzwa na kutumiwa na watu wengi

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Achana na 4GR za 2004-2005

Mkuu changamoto ya hizo ni nini?.maana naona nyingi ndio zinauzwa na kutumiwa na watu wengi

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app

Hazina ubaya

Ila nmesema hapo tofauti ni Geabox ina 5speed

So haichanganyi faster kama yenye 6speed
Pia fuel efficiency ni nzuri zaidi kene 6speed

So chukua 3GR au 4GR kuanzia 2006 utaenjoy
 
Why 2006 na sasa iv tuko 2023 ndg
Miaka 17 ni umri wa mtoto wa form 3 km sio form 4 afu ww unataka ununue gar yenye 17yrs

Ni mawazo yangu tu
Ninamiliki gari Toyota model ya 2003 yenye thamani ya 18mil. Je, hiyo ya angalau 2015, unadhani gharama yake itakuwa imezidiana kama milioni 2-3? Uchumi wetu ndio unaamua umiliki gari yenye umri gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…