Nataka kuoa albino

Nataka kuoa albino

Wanafichwa sana.

Kuna miaka walianzishiwa kituo sikumbuki ni mkoa gani, fanya utafiti.

Isije kuwa umepewa ushauri na mganga, hapo sipo.
 
Wanafichwa sana.

Kuna miaka walianzishiwa kituo sikumbuki ni mkoa gani, fanya utafiti.

Isije kuwa umepewa ushauri na mganga, hapo sipo.
Hapana ni matamanio yangu tu nasikia wanatulia sana kwenye ndoa sio kama hawa viumbe wengine
 
Sema ukikuta mwenye roho mbaya wanakuwaga na roho za kishetani hawa watu wenye ulemavu
 
Weekend smart Wana JF

Moja kati ya ndoto zangu Mimi ni kuoa albino,Hawa watu Huwa wananivutia sana Kila ninapowaona, tatizo tu huku mijini daslam hawaonekani.

Kweli niliwahi kwenda kahama ila sikuambilia pia, leo hapa JF naomba kutangaza Rasmi Mimi DALALI MKUU nahitaji kuoa albino na kama nitakosa nitajiunga na wale wa kataa ndoa

Unaweza kushare nami kama ulishawahi kuwa nao kwenye mahusiano wakoje...

DALALI Mkuu Kinondoni Dar es Salaam Kwa Sasa safarini kilindi Tanga
How does their "thing" test for those who have ever done it?
 
images (3).jpeg


DALALI MKUU vipi huko???
 
Back
Top Bottom