Nataka kuoa jini

3,4,5,6,
Sio kila jini ni tajiri n majini wengi ni machokoraa na wanapenda dezo yan kula bure na kulala bure na kumalizwa haja zao bure ndio maana matatizo ya watu kuingiwa na MASHETANI YA KIJINI yamekuwa mengi

Na wanapata maambukizo ya zinaa ,

Ukipata jini shoga utamkubali??

Mramba jr.
 
Huyo hana shida ya kuoa jini ndugu zangu... Hebu kumbukeni taaluma yenu ya fasihi.... Huyo anaonekana vibinti vinamtolea nje sana..... Sasa kaamua kuwatusi kifasihi.... Lakini mimi namuonya.. USIMTUSI MAMBA WAKATI HUJAVUKA MTO....hakuna mwanamme mwenye akili timamu ambaye Hahitaji mwanamke. Wanawake wanahitaji wanaume waliokamilika.... LA sivyo utaishia kuoa 'jini'.
 
Subiri aje mmoja then baada ya kumpata utupe feedback kama umejuta au la
 
Ila mahali zao kafara aidha baba au mama
 
Be careful with what your wishing for. Usiandike kitu kutufurahisha sisi Badae ukapata madhara ukiwa peke yako, sio kila member humu jf ni binadamu. NOTE THAT.
 
Pole sana mkuu ukilikuta bahari utasaga meno na kilio, ni vizuri usioe kabisa maana ukikiuka tu utaipata frsh.
 
 
Mfate mkuu wa mkoa akuagizie pa kupata Jini, yeye ndo nlisikia akitangaza habari za majini juzi siuji jana!!!!
 
Duuuh! Maisha kweli magumu kwa ndugu yetu huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…