Nataka kuoa jini

ha ha ha haaaa hii ndo jamii forum bwana, full raha tu coz kwetu hakunaga kununa
 
Sio mbaya si unatoka huko huko we member wao check hata avatar yao
 

[emoji115][emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
UE umemaliza??
 
uyu jamaa me simuelewi kabisa

alikuwa na sup 5 kama sikosei

mara kun demu alimmaind club

leo anataka kuoa jini duuuh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].... mimi nahisi uyu jamaa amelala. Oyaaa malizia kuota iyo ndoto halafu ukishaamka uje ufute hii thread yako.
 
Silishangai sana wazo lako.Hilo jina lako HR 666 linaonyesha wazi kwamba inawezekana tayari una uhusiano na hayo madude na uko on duty kuwashawishi wanadamu wayaoe.Hata hivyo be careful,kwa kuwa unachokifanya ni against God's will na kuna hukumu mbaya na kali baadae.
 
Acheni wivu acha kijana abadilishe mazingira
Kabisa mkuu maana kuna uz hapa alidai anawachukia wanawake wote " acha achukue fulsa [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
"sumu ya teja segerea.. "[emoji445] ..Haka ka wimbo bhana.. Raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…