Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NonsenseYou are from the future
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa??Majini hayana utani!! Sasa nikuhakikishie hata sasa unaishi na jini na usiku ndoto zako za kujamiana ni kweli jini linakufaidi subiri sasa madhara!
HR 666Kichaa yupi?
Si ulitafuta k ya bure ukatolewa nduki? Acha kupoteza muda pambana na shule acha kutoa upupu JfAcha umbea wewe
And you from the past [emoji6]Nonsense
Kaa mbali!!Ok
Usiwe unachangia nyuzi zangu
Niache nitafute umaarufu kama bichwa lako linavyokuaminisha
Wakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi
1)Majini hayachepuki
2)Majini hayaombi hela
3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi
4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa
5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia
6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru
Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza
Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile
Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani
Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .
Hapana Nina upeo mkubwa kwa mada serious!!Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa??
Magu ataua watu jamani hadi huyu day after day anadata hivi hivi mwenzetu.... kisa kuisoma nambaHuyu jamaa huwa simuelewi kabisa au ndio kusoma namba!!
Alizoea vya kunyonga!!Magu ataua watu jamani hadi huyu day after day anadata hivi hivi mwenzetu.... kisa kuisoma namba