Nataka kuoa Msukuma, chakula Chao cha asili nini nijiandae?

5aa607ac773fd9865370554217a706e1-jpg.3038919

Mwenzako sijutii kuoa msukuma, kama hapo ni breakfast tu....ndoa tamu aisee..
Af ngoma inakuwaga Dona
 
Aa

Aah poa poa... Sema jamaa wanapiga kazi... Ukifanya kazi na Msukuma kuna mawili, aidha kesho Boss anakufukuza kazi... Au upunguziwe mshahara ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndio maana wanakula sana, sema wanawake wa kisukuma wazuri, wana roho nzuri, wana maumbo pia.
 
Ugali, mtindi, nyama, kuku na mboga za majani. Na wali ni kisusio tu baada ya kula ugali ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kingine wasukuma sio wa kuvunga au wanyimi kwenye chakula na kama familia wanaweza kula kilo mbili bhasi huwa wanaongeza hata nusu nyingine ili mgeni akitokea ale vizuri.

Sio dar, watu wanakula bajeti Ila sio chakula. Hivyo Oa huyo watoto wakue vizuri ๐Ÿ˜
 
Demu wako anakula kule wewe?! Kuna siku utakuja kula makofi.
Mwanamke wa kikurya au kisukuma anakula zaidi kuliko wanaume wa pwani. Ni issue ya malezi na kazi wanazofanya tu mkuu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Nkoi unatia wasiwasi...sasa kama anakula kukuzidi, wajomba nitapata kweli au ndio mtaishia katoto kamoja?
 
Urojo na supu ya pweza Babake! hapo msukuma hachomoki atakuganda mpk mkifa mzikwe wooote!!!
 
Jukwaa limejaa wasukuma hili๐Ÿ˜‚
 
Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Kanunue kabisa mtama mweupe usage upate UNGA mlenda wa UNGA Karanga za kusaga,mafuta mawese/alizeti
 
Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Ugali kama jiwe,iwe dona la kawaida ama ngoma ya mtama vyote mbwa hawezi kuruka toka upande mmoja kwenda wapili,mboga kiduuchu,zaidi mlenda pori ,kwa mazingira ya town iwe chainizi,mchicha ama tembele,bila kusahau maziwa kwa mazingira ya ufugaji,ila usiogope nyoka na fisi kwani ni wafugaji kwa kawaida.
 
Ugali, mtindi, nyama, kuku na mboga za majani. Na wali ni kisusio tu baada ya kula ugali ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kingine wasukuma sio wa kuvunga au wanyimi kwenye chakula na kama familia wanaweza kula kilo mbili bhasi huwa wanaongeza hata nusu nyingine ili mgeni akitokea ale vizuri.

Sio dar, watu wanakula bajeti Ila sio chakula. Hivyo Oa huyo watoto wakue vizuri ๐Ÿ˜
Yani wali hawashibi Hao watu tuliwaalika vijana kama 15 kusaidia kuvuna tulipika mchele kilo 14 hapo ni wali na nyama na maharage na uliiisha nilishangaa sana ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ndo maana kwenye sherehezao wali wanapakua Kila mtu sahani yake bila hivo looh
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tatizo hiyo kilo 14 wewe unaona kubwa Ila wao wanaolima wanaona umewapunja. Msukuma wa kijijini umpikie kwa bajeti za town atakuona mchoyo
 
Yani wali hawashibi Hao watu tuliwaalika vijana kama 15 kusaidia kuvuna tulipika mchele kilo 14 hapo ni wali na nyama na maharage na uliiisha nilishangaa sana ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ndo maana kwenye sherehezao wali wanapakua Kila mtu sahani yake bila hivo looh
Ila na kitandani mashallah tumejaliwa wewe ulikosea walipaswa wale hafu wale tena ๐Ÿ˜‚ yaaa bhakema!
 
Back
Top Bottom