Aah poa poa... Sema jamaa wanapiga kazi... Ukifanya kazi na Msukuma kuna mawili, aidha kesho Boss anakufukuza kazi... Au upunguziwe mshahara πππNilimaanisha kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.
Af ngoma inakuwaga Dona
Mwenzako sijutii kuoa msukuma, kama hapo ni breakfast tu....ndoa tamu aisee..
Kabisa, na ugali wa muhogo upo hapo, ni wewe tu..Af ngoma inakuwaga Dona
Ndio maana wanakula sana, sema wanawake wa kisukuma wazuri, wana roho nzuri, wana maumbo pia.Aa
Aah poa poa... Sema jamaa wanapiga kazi... Ukifanya kazi na Msukuma kuna mawili, aidha kesho Boss anakufukuza kazi... Au upunguziwe mshahara πππ
Binti eti mnakulaje..hahaha! Ndio maana ni mijitu yenye siha ya kutoshaπ€£Wamisha kinehe shemegi.
Uko wapi......
Mwanamke wa kikurya au kisukuma anakula zaidi kuliko wanaume wa pwani. Ni issue ya malezi na kazi wanazofanya tu mkuu ππDemu wako anakula kule wewe?! Kuna siku utakuja kula makofi.
Michembe, mbute, nsansa.....Binti eti mnakulaje..hahaha! Ndio maana ni mijitu yenye siha ya kutoshaπ€£
Ndio maana mmejazia kuanzia miguuπ€£π€£π€£π€£Michembe, mbute, nsansa.....
Ugali mkubwa na ugali mdogo ndio mboga.
Kanunue kabisa mtama mweupe usage upate UNGA mlenda wa UNGA Karanga za kusaga,mafuta mawese/alizetiWanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Ugali kama jiwe,iwe dona la kawaida ama ngoma ya mtama vyote mbwa hawezi kuruka toka upande mmoja kwenda wapili,mboga kiduuchu,zaidi mlenda pori ,kwa mazingira ya town iwe chainizi,mchicha ama tembele,bila kusahau maziwa kwa mazingira ya ufugaji,ila usiogope nyoka na fisi kwani ni wafugaji kwa kawaida.Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Yani wali hawashibi Hao watu tuliwaalika vijana kama 15 kusaidia kuvuna tulipika mchele kilo 14 hapo ni wali na nyama na maharage na uliiisha nilishangaa sana ππUgali, mtindi, nyama, kuku na mboga za majani. Na wali ni kisusio tu baada ya kula ugali ππ
Kingine wasukuma sio wa kuvunga au wanyimi kwenye chakula na kama familia wanaweza kula kilo mbili bhasi huwa wanaongeza hata nusu nyingine ili mgeni akitokea ale vizuri.
Sio dar, watu wanakula bajeti Ila sio chakula. Hivyo Oa huyo watoto wakue vizuri π
πππYani wali hawashibi Hao watu tuliwaalika vijana kama 15 kusaidia kuvuna tulipika mchele kilo 14 hapo ni wali na nyama na maharage na uliiisha nilishangaa sana ππ
Ndo maana kwenye sherehezao wali wanapakua Kila mtu sahani yake bila hivo looh
Bhagosha hiiiiiiHao watu wanakula kama mchwa..debe la mahindi linaliwa siku mbili tu limeisha
Ila na kitandani mashallah tumejaliwa wewe ulikosea walipaswa wale hafu wale tena π yaaa bhakema!Yani wali hawashibi Hao watu tuliwaalika vijana kama 15 kusaidia kuvuna tulipika mchele kilo 14 hapo ni wali na nyama na maharage na uliiisha nilishangaa sana ππ
Ndo maana kwenye sherehezao wali wanapakua Kila mtu sahani yake bila hivo looh
Ulekadakama ubhebheWamisha kinehe shemegi.
Uko wapi......