Nataka kuoa Msukuma, chakula Chao cha asili nini nijiandae?

Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
unataka kuoa mtu kisha chakula chao hujui? seriously
 
Kumbe wewe unaweza badiri dini kisa mwanamke badala ya wewe kumbadirisha mwanamke!! 😂
 
Anakula kuliko wewe lakini hujui anakula nini!
 
Sasa washee huwezi hata kula utaweza kumla dada?
Usipokuwa makini atakukata makofi.

Wasukuma tunakula..... Ndiyo tunakula hasa na kazi inapigwa hasa.

Kuanzia urais Hadi vibarua ukimpa msukuma boss kalale.

Ukimzingua msukuma atakakushughulikia muda atakapopata uhakika wa kushinda battle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…