Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Usiku wanaweweseka
A e i o u
Upo tayari ?!
Jiandae kulishwa chaki na mifutio ukimzingua.
OA
Unaoa mke au mwalimu?
Unaoa mwanamke au unaoa ualimu ?
Wako poa tu kama tuwaonavyo kitaa
Duh! Angalau Leo sio chura mwananguAna hela?
Wewe taaluma yako ni ipi mrembo ?Kumbe siku hizi kudumu ama kutodumu kwenye ndoa inategemea na profession ya mtu? sikujua hili nilidhani inategemea na mtu mwenyewe. [emoji30]