Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Hawa watu wana akili sana ila mpka uwaelewe lazima nawe uwe konkii kichwani...vinginevyo mtakutana mahakamani
kuna akili halafu kuna busara ya kudeal na mtu huku ukiweka taaluma kando. wao kila mahali wanatakaga kuweka yale mambo yao.
 
kuna akili halafu kuna busara ya kudeal na mtu huku ukiweka taaluma kando. wao kila mahali wanatakaga kuweka yale mambo yao.
Mambo gani jamani mbona kuna ndoa za wanasheria wengi tu.acheni uoga vijana pambaneni sheria zake kazini kwake kwako ni mke tu....wanaume tambueni mamlaka yenu..akileta fyokofuoko unatia kelebu moja matata anatulia
 
Back
Top Bottom