Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Mambo gani jamani mbona kuna ndoa za wanasheria wengi tu.acheni uoga vijana pambaneni sheria zake kazini kwake kwako ni mke tu....wanaume tambueni mamlaka yenu..akileta fyokofuoko unatia kelebu moja matata anatulia
ww umeoa mwanasheria mkuu?
 
Kuna m1 nilikuwa nikimpigia simu akiwa anasoma chuo cha Sauti alikuwa hapokei simu na akipokea hadi ajiskie na utetezi wa kuwepo discussion ni kila siku, niliachia ngazi cha kufia nini nakati sioi kazi bali naoa tabia njema...[emoji119][emoji87]
Hamna kitu kumbe
 
Ila asilimia kubwa wametulia hawana papara, so kama hawa wwngine mambo mengi
 
Back
Top Bottom