Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Mimi mwenyewe zamani nilikuwa nimekariri kwamba nitafute mwalim au nesi ndio nioe.
Basi ikawa kila nikichunguza naona wote chenga.
Mwisho wa siku nikaja kumpata mke mwenye vigezo na mtulivu sana,hakuwa mwalimu,nesi wala mwanasheria.
Haya mambo ni pasua kichwa huwa ni kubahatisha;nakumbuka miaka ya nyuma wakati natafuta mke,nilikuwa nakwenda kuwatembelea kwenye vyuo vyao...lakini sikubahatisha;mwisho wa siku nikawa nafanya kazi kwenye taasisi moja...katika matembezi tembezi ndio nikakutana na mrs equation x
 
Wanawake wazuri kuoa mie naona manesi.manake atakupa pole kwa jambo lolote atafikiri anampa pole mgonjwa aliemdunga sindano ya tako.
 
Walimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..

Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??
Na wewe uolewe
 
Back
Top Bottom