Itakuwa mna namba nyingi za Wanafunzi.Walimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..
Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??
Anakuja Edelyn new model kukupa punch za abuja😃😃😃Mambo gani jamani mbona kuna ndoa za wanasheria wengi tu.acheni uoga vijana pambaneni sheria zake kazini kwake kwako ni mke tu....wanaume tambueni mamlaka yenu..akileta fyokofuoko unatia kelebu moja matata anatulia
Hahaa, anaweza kuwa mchinjaji mwenye upendo lakini, anafanya Kwa wengine but kafa kaoza Kwa family yake[emoji3] [emoji3] , eeh Mungu niepushie hili balaa mume mchinjaji[emoji30]Sasa we unaolewa na mchinjaji unategemea nini huko ndani ya nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
maishaaaa 😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi tumejaa walimu maslahi, karibu sana ila tupo vizuri sanaaaa, yaani wife material kabisaa hutojutia.
Cc Heaven Sent
ungekula za uso wanji wanji chechee 😆😆😆Kuna m1 nilikuwa nikimpigia simu akiwa anasoma chuo cha Sauti alikuwa hapokei simu na akipokea hadi ajiskie na utetezi wa kuwepo discussion ni kila siku, niliachia ngazi cha kufia nini nakati sioi kazi bali naoa tabia njema...[emoji119][emoji87]
Hahah jipe moyo tu 😃😃😃Hahaa, anaweza kuwa mchinjaji mwenye upendo lakini, anafanya Kwa wengine but kafa kaoza Kwa family yake[emoji3] [emoji3] , eeh Mungu niepushie hili balaa mume mchinjaji[emoji30]
Ni wivu tu.maishaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kuoa na ualimu wake?Mke mwalimu
Oa tu man. Mi mwenyewe nimeoa Mwalimu mpaka raha yan
hadi apitie cv yake.
Inategemea na mwanaume mwnyw alivyo ndo kufokewa kutatokea, ajiandae na kusaidia kusaisha mitihan pia
Unataka kuoa na ualimu wake?
duuu baba swalehe ww una dhambi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usiku wanaweweseka sana utasikia
A e i o u, utasikia we swalehe acha kupiga kelele
Upo tayari ?!
Hatari sana, siku ukimzingua anakurestisha in peace ,uwiii [emoji22] [emoji25]Hahah jipe moyo tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Walimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..
Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??
Dhambi zipi tena mkuu [emoji28]duuu baba swalehe ww una dhambi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku wanaweweseka sana utasikia
A e i o u, utasikia we swalehe acha kupiga kelele
Upo tayari ?!