Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Walimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..

Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??
Itakuwa mna namba nyingi za Wanafunzi.
 
Mambo gani jamani mbona kuna ndoa za wanasheria wengi tu.acheni uoga vijana pambaneni sheria zake kazini kwake kwako ni mke tu....wanaume tambueni mamlaka yenu..akileta fyokofuoko unatia kelebu moja matata anatulia
Anakuja Edelyn new model kukupa punch za abuja😃😃😃
 
Sasa we unaolewa na mchinjaji unategemea nini huko ndani ya nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa, anaweza kuwa mchinjaji mwenye upendo lakini, anafanya Kwa wengine but kafa kaoza Kwa family yake[emoji3] [emoji3] , eeh Mungu niepushie hili balaa mume mchinjaji[emoji30]
 
Kuna m1 nilikuwa nikimpigia simu akiwa anasoma chuo cha Sauti alikuwa hapokei simu na akipokea hadi ajiskie na utetezi wa kuwepo discussion ni kila siku, niliachia ngazi cha kufia nini nakati sioi kazi bali naoa tabia njema...[emoji119][emoji87]
ungekula za uso wanji wanji chechee 😆😆😆
 
Walimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..

Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??

[emoji23][emoji23][emoji23] dah umenifanya Nicheke
 
Back
Top Bottom