Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Itakuwa mna namba nyingi za Wanafunzi.Walimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..
Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??