Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Haya mambo ni pasua kichwa huwa ni kubahatisha;nakumbuka miaka ya nyuma wakati natafuta mke,nilikuwa nakwenda kuwatembelea kwenye vyuo vyao...lakini sikubahatisha;mwisho wa siku nikawa nafanya kazi kwenye taasisi moja...katika matembezi tembezi ndio nikakutana na mrs equation xMimi mwenyewe zamani nilikuwa nimekariri kwamba nitafute mwalim au nesi ndio nioe.
Basi ikawa kila nikichunguza naona wote chenga.
Mwisho wa siku nikaja kumpata mke mwenye vigezo na mtulivu sana,hakuwa mwalimu,nesi wala mwanasheria.
[emoji16]wamekuwa chakula au
Ni kweli mkuu,kila mmoja anataka maendeleo mazuri,mambo ya kushika chaki na kuishia kwenye ugonjwa wa pumu hauna tija.
Usijali nashona kitenge, simpleee shughuli imeisha.
Kama upo serious kweli humu huwez pata majibu ya unachouliza coz hakuna mwanamke asiye na changamoto ,point ya msingi if umemuelewa fresh jilipue tu
Umeelewa lkn
Usiku wanaweweseka sana
A e i o u, utasikia we swalehe acha kupiga kelele
Upo tayari ?!
Uoe bar maid,stripper,masseur utegemee ndoa idumuKumbe siku hizi kudumu ama kutodumu kwenye ndoa inategemea na profession ya mtu? sikujua hili nilidhani inategemea na mtu mwenyewe. [emoji30]
Na wewe uoleweWalimu wezamgu wa kike wanaolewa kisa wana maadili na kazi yao inawalazimu wawe na maadili pia..
Shida kwetu wanaume.. Akiskia we mwalimu anatoka nduki... Kina dada tuna nini sie walimu wa kiume??
Ebu niambie wanasheria wana shida gani?
Jiandae kuchapiwa wakt wa kwenda kusaisha mitiani ya taifa
Wanawake wazuri kuoa mie naona manesi.manake atakupa pole kwa jambo lolote atafikiri anampa pole mgonjwa aliemdunga sindano ya tako.
Uoe bar maid,stripper,masseur utegemee ndoa idumu
Hao wanapenda sana ku arque kwa kila jambo!
Yani mwanaume hata kama umelala utaamshwa usingizini nakwambia muanze kubishana [emoji108][emoji108]