Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Habar zenu wanabodi. Kumekuwa na fununu kuwa walimu aka maticha ndo watulivu kwa ndoa, hawana mambo mengi na ni watiifu ndomana wanaolewa sana. Yaani wanajua kaa na mwanaume

Jamani kwa wale ambao mmeoa maticha nipeni hints ni kweli wanayosema kuhusu maticha?.
Uwe tayari kufundishwa na kumtii Mwl wako.
 
Usikariri,wapo wengi tu single mother's watu wana kula na kusepa....labda huko msingi lkn sekondari wengi wanazeeka bila kufanya vya maana.
 
Habar zenu wanabodi. Kumekuwa na fununu kuwa walimu aka maticha ndo watulivu kwa ndoa, hawana mambo mengi na ni watiifu ndomana wanaolewa sana. Yaani wanajua kaa na mwanaume

Jamani kwa wale ambao mmeoa maticha nipeni hints ni kweli wanayosema kuhusu maticha?.
Tabia njema ndio mwanadamu anayejitambua sasa wewe unaoa kisa ni mwalimu je kama ni daktari na anajua kuishi na mwanaume hapa jirani kwetu kuna mwanadada ni mwalimu ni malaya anaingiza watu tokea alfajiri mpaka alfajiri kuna mwingine yupo kimya naanafuata kilichomleta ndio maana sio wote wanaofanya kazi bar ni malaya umeona eh.
Je anajali anakupenda je familia yako ameikubali unawakika hana roho ya kwanini au kinyongo?? Anakusikiliza je anakupa mawzo chanya huyo ni mwanamke mwanamke sio kazi ni jinsi anavyokuchukulia kwa wewe vizuri mpaka uridhike huyu ni wife material.
Wife material huyu hapa.
.ni mcha Mungu katika dini yake
.mwelewa
.anajitambua
.anakujali wewe na familia yako meaning Mama yako ndio asilimia kubwa kwake kumjali
.anakuheshimu
.anakusikiliza
.naanafurahia uwepo wako
.anajitambua na hakukwazi
.hata kama hakushirikishi kwenye mambo yake ila mengi anakutendea hayo yote ndio mwanamke .
.wengine wanakaa kimya mpaka uwe nashida halafu anakusaidia ukikwama .
.ni wachapa kazi na hawapendi kutumia hela ovyo.
 
Back
Top Bottom