Kupanga ni kuchaguwa mapenzi aya ushauri utayakuta mbeleJe,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa,mm nayy sotena miaka 32.sote wakristo.ushauri wenu unahitajika hapa.
Oa mwenye watoto 4,wawili wachacheJe,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa,mm nayy sotena miaka 32.sote wakristo.ushauri wenu unahitajika hapa.
Nipo ndugu yangu na asante sana kwa kunikaribisha hapa
Je,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa...
Kabisa kikubwa amaniOa tu, maisha ni haya haya!
Kwa upande wangu wazazi wenzangu niliokutana nao hatukua tunaendana tabia,magomvi na mitazamo juu ya maisha haikua sawa ,isitoshe suala la utiifu na heshima halikuwepo, mwanamke wangu wa mwisho huyu hakua anafatisha maelekezo yangu,mm kama mmewe.kwa upande wake yy alitelekezwa na aliyekua baba watoto wake.Sababu ya ninyi kuwa masingle parents ni ipi labda?
Kuna amani basi kikubwa uvumilivu.Kabisa kikubwa amani
Tuanzie hapo kwenye watoto wawili kila mmoja. Single mother na single father ni tofauti kidogo. Mwanaume ndie anabeba gharama za malezi ya watoto kwaiyo mwanamke akija kwako hata akikukuta tayari una watoto hataingia gharama za malezi lakini akija kwako na watoto wake maana yake wewe utaongezewa gharama za malezi ya watoto wake pia, upo tayari kulea hao watoto wote wanne bila kuwabagua mahitaji yao kuanzia shule, matibabu n.k?Je,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa,mm nayy sotena miaka 32...
Mleta mada, soma kwa makini sana huu ushauri kisha tafakari halafu chukua hatua,Tuanzie hapo kwenye watoto wawili kila mmoja. Single mother na single father ni tofauti kidogo. Mwanaume ndie anabeba gharama za malezi ya watoto kwaiyo mwanamke...