Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaUmesema mna watoto watatu from the failed marriages and every one of you are living separately and still nyie niwanandoa ,umeniconfuse hapo mkuu
Do umeandika mantiki zako kiphyschologia zaidi na kimpangilio. Nafikiri majibu uliyompatia yatamsaidia kufanya maamuzi sahihiTuanzie hapo kwenye watoto wawili kila mmoja. Single mother na single father ni tofauti kidogo. Mwanaume ndie anabeba gharama za malezi ya watoto kwaiyo mwanamke akija kwako hata akikukuta tayari una watoto hataingia gharama za malezi lakini akija kwako na watoto wake maana yake wewe utaongezewa gharama za malezi ya watoto wake pia, upo tayari kulea hao watoto wote wanne bila kuwabagua mahitaji yao kuanzia shule, matibabu n.k?
Tuje kwenye muda wa mahusiano yenu, miezi mitatu ni michache sana kumfanyia surveillance mwanamke kwa lengo la kumuoa.
Kuna dhiaka ndogo ndogo za walimwengu na mateso ya kisaikolojia utayapata kuishi na mwanamke ambae anakuja kwenye mji wako na watoto wake, ndio maana hata wewe mwenyewe akili inasita ndio maana umekuja hapa kuandika uzi kujiridhisha, swali ni je utaweza kuishi na haya mateso ya kisaikolojia siku zote za ndoa yenu?
Uyo mwanamke yupo kwenye declining phase ya ubora wake, vigezo vya umri na usingle mother vinamuhukumu kwenye soko la mahusiano, karata pekee aliyobakiwa nayo ni kuwa wife material(hata kwa kuigiza). Huo mwenendo wake ambao so far umekuridhisha una uhakika ndio tabia zake au pretend tu? Katika hiki kipengere nakushauri ufatilie pia na past yake
Kumbe unamaono kama yangu. Comment hii ni kiboko, yaani mpangilio wa kimantiki, hoja zimetulia na kufikilisha, kwenye kila hoja ufafanuzi umetolewa wa kwa nini hoja au swali liko hivyoD
Dah kaka mkubwa wewe itakuwa ni professor.... Au ni politician 🤔
Maana hili jibu ulompatia mwamba ni zaidi ya jibu!!
Big up sana, yani asiposcreen shot hii comment yako akaenda kuprint na kuweka ukutani ntamshangaa Sana😁
Tena asisahau kuweka lamination kabisa!!
Akitaka ushauri mwingine bila kuuweka huu akilini, lazima arudi na uzi mwingine hapa akiwa analia na kumtafuta mwanasheria au mganga
Mwanamke ambaye sio single mother atakubali kuolewa na single father?Acha ujinga
Inasikitisha kuona kila siku wanaume wanashusha standards za wanawake wa kuwaoa
Kweli single mom ni mwanamke wa kumuoa?
Mbweha mkubwa wewe
Mwanamke ambaye sio single mother atakubali kuolewa na single father?
Kwahyo kaka mkuu,kila mmoja anawatoto watatu kivyake vyake kabla ya kuamua kuishi pamoja,its the great experience kutoka kwako and I hope maisha yanasonga kila mmoja anabarikiwaHapana
Kila mmoja ana watoto watatu kutoka kwenye ndoa yake ya kwanza
Mi ni dada.Kwahyo kaka mkuu,kila mmoja anawatoto watatu kivyake vyake kabla ya kuamua kuishi pamoja,its the great experience kutoka kwako and I hope maisha yanasonga kila mmoja anabarikiwa
Bwashe achaga ujinga basi. Fiansi ana watoto wawili halafu katika maadili yupo sawa kweli???Je,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa,mm nayy sotena miaka 32.sote wakristo.ushauri wenu unahitajika hapa.
Nimekua na mahusiano mengi ila najikuta kwahuyu dada kama niko SEHEMU salama hasa maswala ya heshima na utii aidha namaswala ya fedha pia,emekua mshauri mzuri hata katika maadili naona yuko vizuri.
Naona wanangu wakiwa na mamawakambo aliye mtiifu na mnyenyekevu.pamoja na changamoto zote na maoni kua tofauti tofauti ila bado najikuta kwahuyu single Maza au ndio kurogwa kwenyewe wakuu.
siku akipeleka watoto kusalimia baba yao na akalala huko huko usikasirikeJe,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa,mm nayy sotena miaka 32.sote wakristo.ushauri wenu unahitajika hapa.
Nimekua na mahusiano mengi ila najikuta kwahuyu dada kama niko SEHEMU salama hasa maswala ya heshima na utii aidha namaswala ya fedha pia,emekua mshauri mzuri hata katika maadili naona yuko vizuri.
Naona wanangu wakiwa na mamawakambo aliye mtiifu na mnyenyekevu.pamoja na changamoto zote na maoni kua tofauti tofauti ila bado najikuta kwahuyu single Maza au ndio kurogwa kwenyewe wakuu.
Tulia tulia unatengeneza mabomuJe,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa,mm nayy sotena miaka 32.sote wakristo.ushauri wenu unahitajika hapa.