Mimi na my partner wote tuna watoto watatu,kila mmoja from her/his past failed marriage.
Ana mji wake na nina mji wangu.
Watoto wetu wa kwanza na wa pili ni wakubwa,kiasi most of their times hawakai nyumbani!
Wa mwisho kwetu sote ndo home full time.
Tumekubaliana kila mmoja kubakia kwake, kila mmoja kuwasogeza watoto wale wakubwa mpk wajitegemee fully.
Kisha huko mbele hawa wadogo wawili tutachanganya kuwalea pamoja.
Ambapo tutaacha miji yote miwili, tutakuwa tumeshaestablish mji mwingine, ambao tutaishi na hawa wadogo mpk watakapokua na kutuacha hapo.
Ile miji miwili tunayoishi sasa, itabaki kwa umiliki wa watoto wetu watatu wa kwanza, respectively
Huu mji mwingine, utakuwa kwa ajili yetu sisi, hatuongezi watoto wengine.
Mungu bariki tutaishi hapo mpk Mungu atakapotuchukua, na huo mji wa tatu utakuwa a shared property kwa wajukuu wataotokana na watoto wote 6.
For the time being, tunaishi as a SINGLE MOM and SINGLE DAD ambao are not SINGLEs
Najua sio arrangement rahisi kwa wengi, ukiweza itumie.