Nataka kuoa single mother wawatoto wawili, hata mimi nina watoto wawili pia

Nataka kuoa single mother wawatoto wawili, hata mimi nina watoto wawili pia

D
Tuanzie hapo kwenye watoto wawili kila mmoja. Single mother na single father ni tofauti kidogo. Mwanaume ndie anabeba gharama za malezi ya watoto kwaiyo mwanamke akija kwako hata akikukuta tayari una watoto hataingia gharama za malezi lakini akija kwako na watoto wake maana yake wewe utaongezewa gharama za malezi ya watoto wake pia, upo tayari kulea hao watoto wote wanne bila kuwabagua mahitaji yao kuanzia shule, matibabu n.k?

Tuje kwenye muda wa mahusiano yenu, miezi mitatu ni michache sana kumfanyia surveillance mwanamke kwa lengo la kumuoa.

Kuna dhiaka ndogo ndogo za walimwengu na mateso ya kisaikolojia utayapata kuishi na mwanamke ambae anakuja kwenye mji wako na watoto wake, ndio maana hata wewe mwenyewe akili inasita ndio maana umekuja hapa kuandika uzi kujiridhisha, swali ni je utaweza kuishi na haya mateso ya kisaikolojia siku zote za ndoa yenu?

Uyo mwanamke yupo kwenye declining phase ya ubora wake, vigezo vya umri na usingle mother vinamuhukumu kwenye soko la mahusiano, karata pekee aliyobakiwa nayo ni kuwa wife material(hata kwa kuigiza). Huo mwenendo wake ambao so far umekuridhisha una uhakika ndio tabia zake au pretend tu? Katika hiki kipengere nakushauri ufatilie pia na past yake
Dah kaka mkubwa wewe itakuwa ni professor.... Au ni politician 🤔
Maana hili jibu ulompatia mwamba ni zaidi ya jibu!!
Big up sana, yani asiposcreen shot hii comment yako akaenda kuprint na kuweka ukutani ntamshangaa Sana😁

Tena asisahau kuweka lamination kabisa!!
Akitaka ushauri mwingine bila kuuweka huu akilini, lazima arudi na uzi mwingine hapa akiwa analia na kumtafuta mwanasheria au mganga
 
Kwa visa ambavyo vinazungumzwa humu ndani, ndugu kaa mbali na hao watu. Hautaisha mwaka ndani ya ndoa utatamani utoke, utamkumbuka huyo ulozaa naye.
 
D

Dah kaka mkubwa wewe itakuwa ni professor.... Au ni politician 🤔
Maana hili jibu ulompatia mwamba ni zaidi ya jibu!!
Big up sana, yani asiposcreen shot hii comment yako akaenda kuprint na kuweka ukutani ntamshangaa Sana😁

Tena asisahau kuweka lamination kabisa!!
Akitaka ushauri mwingine bila kuuweka huu akilini, lazima arudi na uzi mwingine hapa akiwa analia na kumtafuta mwanasheria au mganga
Mifumo ya kidunia na kijamii imetutupa wanaume. Wanaume tunakandamizwa na kupitia mateso mengi sana ya kimaisha na kisaikolojia lakini inaonekana ni mambo ya kawaida na ndio ustaarabu wa maisha.

Tumetungiwa mpaka misemo ya "wanaume tumeumbwa mateso", "kitanda hakizai haramu" n.k ili tu ku-justice disrespect, manipulations, emotional blackmails na mental torture tunazofanyiwa.

Mimi nipo hapa kufungua codes ili vijana wenzangu wazitoe akili nje ya matrix na kuona uhalisia. Pitia threads zangu utajifunza zaidi.
 
Ndugu Zangu Oeni/Oleweni
Sasa Hivi Elimu Ni Bure, Kwenye Utawala Wangu Hakuna Kupanga Uzazi. Waziri Wa Afya Umenisikia
By Jiwe
 
Haya mambo huwa hayana ushauri.....wewe kama umeamua kuoa wewe oa tu......Sisi tumeshamaliza semina elekezi na muongozo umeshatolewa......lakini inabakia kuwa ni khiyari ya mjumbe kufuata muongozo.......moja ya maazimio ya kikao cha mwisho kuwa hatuko tayari kufuta machozi ya mtu yoyote kwa kila litakalomkuta kwa maamuzi ya utashi wake nje ya muongozo wa kikao......

Kila la kheri mjumbe....
 
Mmoja wa mzazi mwenzangu ameolewa kwingine,mmoja wa mzazi mwenzangu mwingine tumedumu mika minne shida nimagomvi na kutokua mtiifu au kufuatisha maelekezo yangu ,ni querrlesome an irritative woman most of the time.
Pole sana mkuu, lea watoto wako tafuta pesa kwa utulivu.
Achana na ndoa za kuunga unga kama Phd za Kikuda.
Tafuta bint asie na mtoto ishi nae kiholela tu akipenda kukaa atakaa bila ndoa na akikuzalia lea pia.
#KATAA NDOA.
 
Ni kweli ulivyoongea ni Bora amuoe mama watoto wake kwa sababu kila binadamu anamapungufu
Yah ndivyo ilivyo ila anadai kazaa na Mama tofauti na mmoja kashaolewa afu huyo mwingine ni mgomvi.

Wanawake mnatesa sana wanaume wema afu kwa wahuni mnatulia, Why...?
 
Tuanzie hapo kwenye watoto wawili kila mmoja. Single mother na single father ni tofauti kidogo. Mwanaume ndie anabeba gharama za malezi ya watoto kwaiyo mwanamke akija kwako hata akikukuta tayari una watoto hataingia gharama za malezi lakini akija kwako na watoto wake maana yake wewe utaongezewa gharama za malezi ya watoto wake pia, upo tayari kulea hao watoto wote wanne bila kuwabagua mahitaji yao kuanzia shule, matibabu n.k?

Tuje kwenye muda wa mahusiano yenu, miezi mitatu ni michache sana kumfanyia surveillance mwanamke kwa lengo la kumuoa.

Kuna dhiaka ndogo ndogo za walimwengu na mateso ya kisaikolojia utayapata kuishi na mwanamke ambae anakuja kwenye mji wako na watoto wake, ndio maana hata wewe mwenyewe akili inasita ndio maana umekuja hapa kuandika uzi kujiridhisha, swali ni je utaweza kuishi na haya mateso ya kisaikolojia siku zote za ndoa yenu?

Uyo mwanamke yupo kwenye declining phase ya ubora wake, vigezo vya umri na usingle mother vinamuhukumu kwenye soko la mahusiano, karata pekee aliyobakiwa nayo ni kuwa wife material(hata kwa kuigiza). Huo mwenendo wake ambao so far umekuridhisha una uhakika ndio tabia zake au pretend tu? Katika hiki kipengere nakushauri ufatilie pia na past yake
Tufunge uzi
 
Kama chemistry iko vizuri oa.
Hakuna kanuni ya aina moja ya maisha.
Kama dhamira yako ya ndani inakushuhudia kuwa mtaendana na atakuwa na hekima na kukutii oa @ Babuu
 
Baba wa watoto wa huyo Mwanamke yuko wapi?

Ulizaa watoto wako nje ya ndoa? Na yeye alizaa watoto wake nje ya ndoa?

Usidanganyike kwa kumuona ni mtiifu kwako kwa muda huu coz yupo kwenye kampeni,akisha chukua jimbo ndio utamuona kwenye uhalisia wake.

Hilo nalo neno kwa kweli .
 
Owa tu,lakini hawo watoto wako wawili tafuta mahali kama ni kwa bibi yao,au popote ambako watakuwa salama,maana hapo wewe utaishi vizuri lakini nyuma ya pazia hawo watoto watakuwa wapo gerezani.

Kweli kabisa.
Ni nadra sana kutokea mama wa kambo kupenda watoto wa mume kama anavyopenda wakwake.
Sijui Kwanini wanawake wengi ni wachoyo na Roho mbaya.
Halafu ukute baba yao ndio mtafutaji.
Hata kama mama ndie mtafutaji lakini si umeridhia muishi pamoja?!
 
  • Thanks
Reactions: M45
Mm ndie nnawatoto wawili nje ya ndoa mkuu,yy amepata watoto wote wawili wakiume ndani ya ndoa wakwangu niwakike wote mkuu.
Kumbuka pia watoto wa kiume huwa hawapendi mama zao waliwe na wanaume wengine tofauti na baba zao so ni swala la muda tu madogo watakuja kuona wewe ndo ulisababisha mama yao asiwe na baba yao.
 
Je,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa,mm nayy sotena miaka 32.sote wakristo.ushauri wenu unahitajika hapa.

Nimekua na mahusiano mengi ila najikuta kwahuyu dada kama niko SEHEMU salama hasa maswala ya heshima na utii aidha namaswala ya fedha pia,emekua mshauri mzuri hata katika maadili naona yuko vizuri.

Naona wanangu wakiwa na mamawakambo aliye mtiifu na mnyenyekevu.pamoja na changamoto zote na maoni kua tofauti tofauti ila bado najikuta kwahuyu single Maza au ndio kurogwa kwenyewe wakuu.

Una Miaka 32 ushakuwa na watoto wawili unaoa single Mama, vijana Nani kawaloga?
 
Back
Top Bottom