Break Time
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 283
- 500
Umesema ulitokea ugomvi mkubwa sana kisha aka decide kuachika, lakini swala la migogoro ya kifamilia ni jambo la kawaida na hutokea.Nafurahia ushauri mnaonipatia hapa wanajamii forum,watoto wote wa baba mmoja,aliolewa ndoa ya kimila nahuyo jamaa kukatokea mgogoro mkubwa wa kifamilia na wawe zake huyu dada all in all ushauri nimeuenda sana ,asanteni sana.
Je, kwanini hakutafuta njia chanya ya kuleta solution ya huo ugomvi ili kutofikia hatua ya kuachana?
Je ukitokea kwako akapata changamoto kama aliyokutana nayo Kwenye ndoa yake ya kwanza una uhakika kwamba hatokuacha kama alivyofanya mwanzo?
Anyways, hayo ni maswali tu hayana maana sana kimsingi ninakushauri umuoe huyo binti na ninakutakieni kheri mkamtangulize Mungu ili familia yenu ikawe imara nyakati zote!