Nataka kuoa single mother wawatoto wawili, hata mimi nina watoto wawili pia

Kipi hujaelewa Mkuu?
Niulize nikujibu
Umesema mna watoto watatu from the failed marriages and every one of you are living separately and still nyie niwanandoa ,umeniconfuse hapo mkuu
 
Umesema mna watoto watatu from the failed marriages and every one of you are living separately and still nyie niwanandoa ,umeniconfuse hapo mkuu
Hapana
Kila mmoja ana watoto watatu kutoka kwenye ndoa yake ya kwanza
 
Do umeandika mantiki zako kiphyschologia zaidi na kimpangilio. Nafikiri majibu uliyompatia yatamsaidia kufanya maamuzi sahihi
 
Kumbe unamaono kama yangu. Comment hii ni kiboko, yaani mpangilio wa kimantiki, hoja zimetulia na kufikilisha, kwenye kila hoja ufafanuzi umetolewa wa kwa nini hoja au swali liko hivyo
 
Acha ujinga

Inasikitisha kuona kila siku wanaume wanashusha standards za wanawake wa kuwaoa

Kweli single mom ni mwanamke wa kumuoa?

Mbweha mkubwa wewe
Mwanamke ambaye sio single mother atakubali kuolewa na single father?
 
Hapana
Kila mmoja ana watoto watatu kutoka kwenye ndoa yake ya kwanza
Kwahyo kaka mkuu,kila mmoja anawatoto watatu kivyake vyake kabla ya kuamua kuishi pamoja,its the great experience kutoka kwako and I hope maisha yanasonga kila mmoja anabarikiwa
 
Kwahyo kaka mkuu,kila mmoja anawatoto watatu kivyake vyake kabla ya kuamua kuishi pamoja,its the great experience kutoka kwako and I hope maisha yanasonga kila mmoja anabarikiwa
Mi ni dada.
Yes maisha yanasonga very well.
Watoto wetu wanajua tht we are dating, huwa tuna nyakati nao za pamoja.
 
Bwashe achaga ujinga basi. Fiansi ana watoto wawili halafu katika maadili yupo sawa kweli???
lakini pia unasema mna miezi mitatu ya mahusiano au miaka mitatu? kama ni mienzoi mitatu acha kwanza huo mpango wa kufunga ndoa. Kaa naye hivo hivo kwa miaka mitatu ili kila moja ajue tabia za mwenzake. ukifunga hiyo ndoa kwa pupa utakuja kulia.
 
siku akipeleka watoto kusalimia baba yao na akalala huko huko usikasirike
 
Oa tu.mkuu utabarikiwa na Mnyazi Mungu..

Hakikisha tu kwanza ex wake hayupo kabisa kwenye series ya maisha yake

Mimi Nina singlw mother mmoja hapa ana watoto 7, huwa sioni Aibu kumpikia sometimes, maana ana Life gumu kinoma..

Anapambana sana na maisha ila ndio hivyo Rizki imemkataa😭😭

Tulia tulia unatengeneza mabomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…