Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

Dah maisha ya kijijini magumu nimewai shi na mume singida vj huko alikopangiwa kazi haloooo bado kidogo nikimbie ndoa,ila alhamdullilah kwa sasa tupo mjini dar.ndugu yangu usiende kijijini sijakushaur ata kidogo
Wewe ulienda na hukukimbia , lkn wewe wamshauri asiende kijijini haya akili mkichwa chake.
 
Olewa na dildor( zile nanii za plastic) ndo utakua free ila ukiolewa uhuru wako haupo tena

Maisha ni haya haya why uteseke
 
1. Kumbe wewe mwanamke?
2. Huendi Kwa mmeo kisa marafiki...usipende subiria uzeeke tuanze kwenda Kwa mwamposa kuomba mume
 
Hatari
 
Huyo dokta akikuoa atakuwa mjinga sana. Wewe achana na ndoa ubaki wanaume wa dar wakukanyage
 
Maono ya mwanaume ndio maono ya familia, mwanamke unatakiwa kuwa msaidizi katika kukamilisha hayo maono.

Marriage is conservative institute it can't survive if you want it to be a liberalism institute.

Uzuri ni kwamba ndoa sio lazima, so if you think your dream is too big to sacrifice it for a marriage then you can stay single forever.
 
Me nakushauri kwa upendo kabisa achana na huyo daktari haraka sana usije ukaishi kwenye ndoa ya mateso. Utampata wa kwako hapa dar ikiwezekana olewa na hao marafiki zako uwe huru.
 
Subiri baada ya Ndoa Uombe Talaka.
 
Tumegombana, na kila mtu anaona upande wake ni sahihi. Mimi nahisi hii ndoa siwezi kuimudu. Kama mwanaume hajaniaoa tayari na anaanza kunipangia maisha, unafikiri itakuwaje nikishaolewa?
Umri wenu?
Huyo mwenzio hajaona tu kuwa hapo hakuna kabisa wife material?!
Mimi siwezi maisha ya kuendeshwa na mtu, natamani kuahirisha kila kitu kwa sababu siwezi kupangiwa maisha na mtu kisa ndoa. Naomba ushauri wako. Nikiwa hapa nyumbani hakuna anayenielewa, sasa sijui nifanye nini. Sina tena hamu ya ndoa!
Siyo kila mtu ni wa kuolewa bibie.
Haiwezekani uolewe halafu uwe huru kama kahaba. Hata mume akioa kuna uhuru anapoteza, kwa mfano, kama alikuwa anakesha club lazima aache.

Wewe subiri tu, mabaharia watapokezana na kukuchakaza sana hadi uwe singo maza wa watoto kadhaa, kila mmoja na baba yake tofauti, halafu muda huo utakuta huna rafiki hata mmoja mjini
 
Bora umefunguka kabla ya ndoa! Sio wanawake wote wanaweza hii taasisi ya ndoa kama hakuna upendo na kummsi mwenzio! Kama kakulipia mahari rudisha mapema maana mnakoelekea mapanga ya kichwa yanawahusu nyie kwa nyie!
 
Sasa ngoja mmoja wa marafiki zako aende akaolewe na mganga mfawawidhi na ataenda Kuishi nae Shinyanga ndipo akili itakukaa sawa,pumbafuu kabisa😤

Na kwa kuwa unatanguliza uhuru binafsi kwanza wewe sio type ya kuolewa na yeyote maana una vijifanikio kidogo na ubinti unakusumbua pamoja na starehe za jiji la Dsm wee endelea kumegwa JF itasubiri muda wako wa kuwa tayari kuwa mke utarusha tangazo na sifa za mme umtakae na wewe kipindi hicho utakuwa tayari una mtoto Kwa baba ambaye nae mtashindwana utaweka sifa zako za kuwa single mother aliye serious akitaka ndoa hapo upon kwenye 37 yrs old tayari mbibi mvi zitakuwa tayari zishakutoka.
 
Ukiwa tayari kuwa katika ndoa, lazima utakubaliana na "compromising".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…