Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

Sasa unaolewa kutafuta nini au kuvumbua nini endelea kufanya biashara zako ili uwe tajiri
 
Upo na marafk zako wengi dar ___?!!!

Nazn unge base kuona namna gan utafanya biashara huko uendekano .

Daktar gani anafanya kaz huko kjjn sana huyo ni muuguz tuu ndio maan unampeleka unavyotaka ,


Kama unatak kuw hulu cancel ndoa hyo
 
Usiolewe; hutakuwa na furaha kuolewa ukijua ndoa haitadumu, na Kama unaamua kuolewa, mweleze Jamaa haya ili isiwe udanganyifu na yeye ajue anaoa Dume jike!
πŸ€”πŸ€”πŸ€”! πŸ€”πŸ€”πŸ€” ila jamaa hizi zliosoma znakuwaga wasenge sana yaan unazdiwa ujanja na katoto cha kke? mm n ngekufanyia uhuni na fanya utakavyo, then nikisha kutia mimba nakuacha sasa ndy uamue kuhish dar ama porn shnyanga
 
Duh!

Sijaamini kwamba miongoni mwa sababu zinazofanya usikubari kwenda Shinyanga ni Marafiki zako...!

Ndoa sio Kwa kila Mtu....!
Coz wewe hata ukiolewa HUTOBOI.
 
Usiolewe kwani hiyo ndoa haitadumu. You cannot have the cake and eat it too.
 
Nyie ndo ambao mnafanya takwimu za talaka ziongezeke,huwezi kuolewa ukawa huru.Kua single mother acha kusumbua watu
 
Natamani jamaa asitishe kila kitu, ndoa iishie hapo, wewe si sahihi kwake na haufai kuwa mke yaani wewe ni mwanamke mwenye jinsia ya kike lakini vigezo vya kuwa mke huna!! Mwambie mchumba wako huko tayari kwenda Shinyanga, ushasikia wapi mwanaume ndio anamfuata mwanamke, yeye amekuja kwenu kukuchukua akupeleke kwake,ukaishi naye na huko kwake ni Shinyanga wewe kwenu ni Dar es salaam
 
Ngoja na mie huyu wangu nimtie mimba
 
Kuna mwamba anasema ana mchumba Dar.

Huruma.
 
Tutafuta pesa ili ukifika miaka 35 vijana wa hovyo tuje kukupelekea moto huku tunakuita mshangazi

Sisi sio wahuni sasa! Unaachaje Mbegu yako iteseke? Sisi tumelelewa vyema na wazazi hatuwezi telekeza familia.
 
Kumbe wewe ni demu!

Nilichelewa wapi jameni
 
Daktari anataka kuoa Malaya takataka.
 
Dah maisha ya kijijini magumu nimewai shi na mume singida vj huko alikopangiwa kazi haloooo bado kidogo nikimbie ndoa,ila alhamdullilah kwa sasa tupo mjini dar.ndugu yangu usiende kijijini sijakushaur ata kidogo
Sasa km anampenda huyo Dr si aende Shinyanga, then akisha fanikisha lengo lake watahamia mjini.

Wee mbna uliishi huko kijijini, ulitaka ila hukukimbia.
 
Dada ukishaolewa uhuru hakuna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila kuwa na msimamo na maisha yako mi mwenyewe niliwah kataa kuolewa eti nikaishi Igunga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siwezi aisee napanga kuishi kijijin nikizeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…