Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

Then tafutisha mwanaume anayeishi karibu na wewe, iwe mojawapo ya criteria

Ukikubali huyo wa shinyanga ni lazima uhamie shinyanga, labda na duka lako pia uhamishie shinyanga

lasivyo kuna chances za hiyo ndoa kutokudumu sana
 
Sisi sio wahuni sasa! Unaachaje Mbegu yako iteseke? Sisi tumelelewa vyema na wazazi hatuwezi telekeza familia.
🀣🀣🀣 wee kwl yawezakuta unasukar ya kupanda na kushuka yaan mwanaume unatakiwa uwe kama beberu wee tia mimba mtt atakosa chakula utaft inaonesha wanaume mweny mke mmoja ufa mapema kuliko mweny wake
 
🀣🀣🀣 wee kwl yawezakuta unasukar ya kupanda na kushuka yaan mwanaume unatakiwa uwe kama beberu wee tia mimba mtt atakosa chakula utaft inaonesha wanaume mweny mke mmoja ufa mapema kuliko mweny wake

Siwezi Kuwa hivyo, hatuongelei mke mmoja au wawili, tunaongelea kuwajibika kwa unaozaa
 
You cant eat your cake and still have it.
 
wewe hujaubiwa kuolewa.
 
hakuna mahusiano/ndoa isiyokuwa na sheria....ukitaka uhuru endelea kuwa single.
 
Bora ukatae kuolewa na huyo mwanaume maana utamuingiza gharama za bure na utamtesa tu
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kumbe chai
 
Ndoa haina uhuru, narudia ndoa haina uhuru, narudia tena ndoa haina uhuru...
 
Yote sawa
 
HILO MBONA RAHISI TU KUCHOMOKA

NJIA NI HII KATAA NDOA. NDOA NI UTUMWA NA WEWE UNATAKA KUWA HURU KWA HIYO KATAA NDOA ILI KUPIGANIA UHURU WAKO
Umeua mkuuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Pole sana, achana na hayo wanaokudanganya nenda huko kwa mumeo mtarajiwa...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…