Kulikua hakuna sababu ya wewe kusema hujutii na blablaa zingine at any Time T munatafuta loop hole ya kusema wasomi, pia unhesema wewe Form Six tu
Kwenye umri huo wa 30's hata kama ulikua bado huna mpango wa kuoa but ilibidi uwe na mtu tayari just in case
🤔🤔
Wewe sio msomi na umefika chuo wewe ni msomi usikimbie kama unataka usiwe msomi jiite Form Six leaver kujiita University Dropout ni sitaki nataka
🤔🤔
Seriously unataka mkeo atafute kazi, Sasa ili faida ya wewe kuacha chuo hili kufanya Biashara siumejipata ndio umfungulie Biashara sasa wewe unataka aombe kazi sijui hotcake kasome hio kozi hotcake na wewe then uanze kuomba kazi Kama rahisi ninyi Schoolless munaona mambo rahisi
Huyo mwanamke hafai kua na mwanaume Kama wewe through those mocking za kumsema msomi msomi msomi sipendi sana mtu wa namna hii, pia unahoji kuwa mama wa nyumbani kwani umeomuoa akiwa na kazi pia sikasema anataka Biashara kwanini umfungulii
Jipige wewe chini utamkondesha kwanza wewe darasa la saba una haki ya kuishi na wasomi