Nataka kupiga chini huyu mwanamke

Nataka kupiga chini huyu mwanamke

Ebwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu, so nilijikita kwenye kusafiri na biashara kibishi sana and it took so long kujitafuta so nilipo fika early 30's nilikuwa vizuri tu sema nilikuwa sitaki kuoa ili niufaidi ujana kutokana kwamba ujana wangu mwingi nilikuwwa mpambanaji so sikuzichakata vizuri but mwaka jana mwanzoni wazee wakaniweka mtu kati nioe.

Sikuwa na jinsi but mtihani ukaja nimuoe nani maana madem zangu wote kila nikiwapima naona sio wife material bas kuna dem mmoja I know her kwa mda mrefu kidogo kwao ni financially stable na pia ni msomi ndio alikuwa amemaliza masomo ya nje ya nchi mwanamke mzuri kwelikweli pia alikuwa mkubwa kiumri maana alikuwa abv27 so nikajaribu karata yangu bwana kama zali vile mtt akajaa kwenye 18 ukizingatia nilikuwa willing kuoa.

Sikulaza dam nikatoa mahali na kufunga harusi chapu by then dem ndio alikuwa intern.

Mambo yamebadilika sana baada ya kuoa binafsi nilipenda sana kuoa mwanamke msomi as mimi sio msomi ili iwe motivation kwa makid wangu lakini pia kwenye uchumba huyu manzi alinishawishi maana alikuwa anajituma hata kwenye kazi ndogondogo za hom lkn pia aliniweka kwenye mstari maana mimi ni bad spender mpaka home wakasema huyu ndio mwanamke sasa msomi kwelikweli na anajielewa (sitoongelea fani yake lkn ni very hotcake).

Baada ya kuoa sasa mambo nilio yakuta ni opposite aisee kwanza uvivu huu alionao sijawahi kuuona tangu nizaliwe we have a kid lkn huyu kid kawa wa beki tatu manzi anachat tu na tiktok asubuhi mpaka jioni, chaajabu sasa hataki kutafuta kazi kisingizio eti anawito wa biashara nikimuangalia kwa huu uvivu biashara hawezi lkn pia biashara sio kigezo cha kuto kufanya kazi na kwa fani yake kama atafanya kazi hawezi kulipwa chini ya m3 sasa simuelewi sijui karogwa huyu manzi?

Mimi ni mtu wa safari lkn anawivu sana anaona nikisafiri nitatamani madem wa nje aisee nashindwa kumuelewa. Yaan nimeoa msomi alafu kageuka kuwa mama wa nyumbani WTF🖕🏻

Wadau uwanja ni wenu nipige chini au nifanye nn kifungo kikubwa ni ndoa bwana tena ya kanisani.
Mkuu huna mke mbaya...kuna kitu hakipo sawa kwako
 
Umuache mwanamke kwa sababu za kijinga ivo jamaa...ingekua mzinzi happy haina mjadala..ila hayo unaweza yarekebisha..unless wewe uwe juma lokole type
 
Nyumbani imebidi niwafungie intenet unlimited.. maana hela za chakula zilikuwa zinanunuliwa mabando tu. Tunakula majani mengi kama mbuzi
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ebwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu, so nilijikita kwenye kusafiri na biashara kibishi sana and it took so long kujitafuta so nilipo fika early 30's nilikuwa vizuri tu sema nilikuwa sitaki kuoa ili niufaidi ujana kutokana kwamba ujana wangu mwingi nilikuwwa mpambanaji so sikuzichakata vizuri but mwaka jana mwanzoni wazee wakaniweka mtu kati nioe.

Sikuwa na jinsi but mtihani ukaja nimuoe nani maana madem zangu wote kila nikiwapima naona sio wife material bas kuna dem mmoja I know her kwa mda mrefu kidogo kwao ni financially stable na pia ni msomi ndio alikuwa amemaliza masomo ya nje ya nchi mwanamke mzuri kwelikweli pia alikuwa mkubwa kiumri maana alikuwa abv27 so nikajaribu karata yangu bwana kama zali vile mtt akajaa kwenye 18 ukizingatia nilikuwa willing kuoa.

Sikulaza dam nikatoa mahali na kufunga harusi chapu by then dem ndio alikuwa intern.

Mambo yamebadilika sana baada ya kuoa binafsi nilipenda sana kuoa mwanamke msomi as mimi sio msomi ili iwe motivation kwa makid wangu lakini pia kwenye uchumba huyu manzi alinishawishi maana alikuwa anajituma hata kwenye kazi ndogondogo za hom lkn pia aliniweka kwenye mstari maana mimi ni bad spender mpaka home wakasema huyu ndio mwanamke sasa msomi kwelikweli na anajielewa (sitoongelea fani yake lkn ni very hotcake).

Baada ya kuoa sasa mambo nilio yakuta ni opposite aisee kwanza uvivu huu alionao sijawahi kuuona tangu nizaliwe we have a kid lkn huyu kid kawa wa beki tatu manzi anachat tu na tiktok asubuhi mpaka jioni, chaajabu sasa hataki kutafuta kazi kisingizio eti anawito wa biashara nikimuangalia kwa huu uvivu biashara hawezi lkn pia biashara sio kigezo cha kuto kufanya kazi na kwa fani yake kama atafanya kazi hawezi kulipwa chini ya m3 sasa simuelewi sijui karogwa huyu manzi?

Mimi ni mtu wa safari lkn anawivu sana anaona nikisafiri nitatamani madem wa nje aisee nashindwa kumuelewa. Yaan nimeoa msomi alafu kageuka kuwa mama wa nyumbani WTF🖕🏻

Wadau uwanja ni wenu nipige chini au nifanye nn kifungo kikubwa ni ndoa bwana tena ya kanisani.
Kwa haraka haraka unaeza sema hii story ni kweli. Kumbe ni uongo mtupu.
 
Mwache akae hvyo hvyo Hadi azeeke mm was hvyo fresh tu namuavha na uvivu wake
 
NDOA NDOA NDOA
ni utapeli mkubwa, wizi, kutafuta stress zisizo na msingi, ndoa ni kifungo
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO
 
Nilishafanya vikao vingi ndugu..alishakataa offer ya kazi baada tu ya internship..ajira kwake yeye sio shida kupata mzee wake alishampa kitengo akatosa mpaka nikaonekana mimi ndio ninamzuia kufanya kazi
Duh pole ila angalia anataka nini.
 
Back
Top Bottom