Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief kwani unaumia nn nikisema mke wangu ni msomi kwanini neno msomi wewe linakuwasha..Kulikua hakuna sababu ya wewe kusema hujutii na blablaa zingine at any Time T munatafuta loop hole ya kusema wasomi, pia unhesema wewe Form Six tu
Kwenye umri huo wa 30's hata kama ulikua bado huna mpango wa kuoa but ilibidi uwe na mtu tayari just in case
🤔🤔
Wewe sio msomi na umefika chuo wewe ni msomi usikimbie kama unataka usiwe msomi jiite Form Six leaver kujiita University Dropout ni sitaki nataka
🤔🤔
Seriously unataka mkeo atafute kazi, Sasa ili faida ya wewe kuacha chuo hili kufanya Biashara siumejipata ndio umfungulie Biashara sasa wewe unataka aombe kazi sijui hotcake kasome hio kozi hotcake na wewe then uanze kuomba kazi Kama rahisi ninyi Schoolless munaona mambo rahisi
Huyo mwanamke hafai kua na mwanaume Kama wewe through those mocking za kumsema msomi msomi msomi sipendi sana mtu wa namna hii, pia unahoji kuwa mama wa nyumbani kwani umeomuoa akiwa na kazi pia sikasema anataka Biashara kwanini umfungulii
Jipige wewe chini utamkondesha kwanza wewe darasa la saba una haki ya kuishi na wasomi
Nilishafanya vikao vingi ndugu..alishakataa offer ya kazi baada tu ya internship..ajira kwake yeye sio shida kupata mzee wake alishampa kitengo akatosa mpaka nikaonekana mimi ndio ninamzuia kufanya kaziMzee baba hayo mambo madogo sana haja kucheat la muhimu hilo lenye kuweza kuwaachanisha. Mengine mshauriane bwana. Fanya kikao na mkeo chumbani kwako kwa ajili ya future yenu msikilizane. Ajira ngumu kupatikana na maslahi machache msikilize kwa undani. Ukute wewe ndio mwenye makosa ya kutompa nafasi ya kujielezea au kupanga mipango yenu
Stick kwenye mada kama hauna ushauri ziba tundu.. kwanza mwaka wa kwanza chuo wewe achana na mambo ya watu wazima asshole"university dropout so sina professional," hauna professional umekazia udropout wako mr. Professional womenaiza ndiyo professional yako, tatizo ubongo ulipotoka kwenye kichwa chenye hadhi ukaenda kwenye kichwa mufilisi.
Kwa Tanzania itachukua miska 50 ijayo wanawake kuwa na mawazo kama yako.Je wajua ukishasema “nataka kumuacha” practically unakuwa umeshamuacha?
Hukuwa tayari toka mwanzo na hapo ndipo tatizo lilipoanza, unajifanyia self sabotage.
Familia na jamii zi-normalize kutokulazimisha watu kuoa na kuolewa, ifike muda kila mtu afanye vitu kwa matakwa yake.
I see another child from a broken family, SMH!
Thanks bro umetoa bonge la advice of all..nitaongeza kukaza maana labda ananchukulia poa mimi ni rafiki zaidi na sina haiba ya ukaliShida imeanzia kwako, hujasimama katika nafasi yako ya kiuongozi kama mwanaume from the start. Umefeli big time kama kiongozi wa familia ndio maana huyo mke wako ameyumba na yeye. Usifikiri mwanamke kuwa msomi basi anaweza kujisimamia na inaondoa nafasi yako ya uongozi kama mume. Man up, weka principles katika nyumba yako kama kiongozi wa familia, ambae hataki kuishi ndani ya hizo principles tangaza wazo kuwa atakua amejiondoa katika falme yako. Man up before its too late.
sikulazimishwa lkn nilikumbushwa..sijamuacha mke wangu na ninampenda sana lkn udhaifu wake unataka kunishinda mapema sanaJe wajua ukishasema “nataka kumuacha” practically unakuwa umeshamuacha?
Hukuwa tayari toka mwanzo na hapo ndipo tatizo lilipoanza, unajifanyia self sabotage.
Familia na jamii zi-normalize kutokulazimisha watu kuoa na kuolewa, ifike muda kila mtu afanye vitu kwa matakwa yake.
I see another child from a broken family, SMH!
Kakaa mwezi ulioisha tu baba mkwe aliniweka kikao anauliza mbona binti hafanyi kazi na wamemsomesha kwa gharama nyingi..alikuwa anahisi labda mm ndio namzuia kufanya kazi nikakosa jibu..
Tz mtihani sana, hakuna raha duniani kama kujutia kitu ulichojisababishia mwenyewe, kwanza huna wa kumlaumu na inafika muda unaanza kujicheka.Kwa Tanzania itachukua miska 50 ijayo wanawake kuwa na mawazo kama yako.
Siku hizi binti akifikisha 27yrs hajaolewa anakuwa stress hatari
Bro msimamo ninao ila sioni mafanikio..imagine mpaka baba mkwe anahoji why alimsomesha binti yake kwa gharama alafu anakaa nyumbani tu au mm ndio namzuia?? Naona sio poa kumchomea kwa wazazi wakeAtapiga chini wangapi kila mtu ana mapungufu yake ajitahidi kua kiongozi tu kwenye nyumba yake ampe mke msimamo wake kuwa hiki sipendi ndani kwangu.
Mkuu imetoshaChief kwani unaumia nn nikisema mke wangu ni msomi kwanini neno msomi wewe linakuwasha..
Mimi ni uni dropout itabaki kuwa hivyo mkuu mbona unapiga misumari sana. Na niliacha sio kwa kufeli wala kukosa ada mimi nilipata hela nikiwa chuo nikaona nasoma ili iweje sasa.
Sishindwi kumfungulia biashara lkn kwa uvivu wake hawezi biashara mimi ni mzoefu wa bizzness najua hawezi ni loss tu.
Unadhani anafaa kuwa na nani maana kama akishindwa kuwa na gentlemen kama mimi sidhani kama wapo watakaomuweza.
Mimi sio msomi lakini nina exposure kubwa kuliko wewe msomi uchwara.
Amua, kimnyoosha mkeo ni maamuxi, inahitaji hekima na busara🤔Maybe she was desperate but we have a kid together now...anapaswa kuact matured