Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Kulikua hakuna sababu ya wewe kusema hujutii na blablaa zingine at any Time T munatafuta loop hole ya kusema wasomi, pia unhesema wewe Form Six tuEbwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu
Kwenye umri huo wa 30's hata kama ulikua bado huna mpango wa kuoa but ilibidi uwe na mtu tayari just in case, so nilijikita kwenye kusafiri na biashara kibishi sana and it took so long kujitafuta so nilipo fika early 30's nilikuwa vizuri tu sema nilikuwa sitaki kuoa ili niufaidi ujana kutokana kwamba ujana wangu mwingi nilikuwwa mpambanaji so sikuzichakata vizuri but mwaka jana mwanzoni wazee wakaniweka mtu kati nioe sikuwa na jinsi but mtihani ukaja nimuoe nani maana madem zangu wote kila nikiwapima naona sio wife material
π€π€bas kuna dem mmoja I know her kwa mda mrefu kidogo kwao ni financially stable na pia ni msomi ndio alikuwa amemaliza masomo ya nje ya nchi mwanamke mzuri kwelikweli pia alikuwa mkubwa kiumri maana alikuwa abv27 so nikajaribu karata yangu bwana kama zali vile mtt akajaa kwenye 18 ukizingatia nilikuwa willing kuoa.
Sikulaza dam nikatoa mahali na kufunga harusi chapu by then dem ndio alikuwa intern.
Wewe sio msomi na umefika chuo wewe ni msomi usikimbie kama unataka usiwe msomi jiite Form Six leaver kujiita University Dropout ni sitaki natakaMambo yamebadilika sana baada ya kuoa binafsi nilipenda sana kuoa mwanamke msomi as mimi sio msomi
π€π€ili iwe motivation kwa makid wangu lakini pia kwenye uchumba huyu manzi alinishawishi maana alikuwa anajituma hata kwenye kazi ndogondogo za hom lkn pia aliniweka kwenye mstari maana mimi ni bad spender mpaka home wakasema huyu ndio mwanamke sasa msomi kwelikweli na anajielewa (sitoongelea fani yake lkn ni very hotcake).
Seriously unataka mkeo atafute kazi, Sasa ili faida ya wewe kuacha chuo hili kufanya Biashara siumejipata ndio umfungulie Biashara sasa wewe unataka aombe kazi sijui hotcake kasome hio kozi hotcake na wewe then uanze kuomba kazi Kama rahisi ninyi Schoolless munaona mambo rahisiBaada ya kuoa sasa mambo nilio yakuta ni opposite aisee kwanza uvivu huu alionao sijawahi kuuona tangu nizaliwe we have a kid lkn huyu kid kawa wa beki tatu manzi anachat tu na tiktok asubuhi mpaka jioni, chaajabu sasa hataki kutafuta kazi kisingizio eti anawito wa biashara nikimuangalia kwa huu uvivu biashara hawezi lkn pia biashara sio kigezo cha kuto kufanya kazi na kwa fani yake kama atafanya kazi hawezi kulipwa chini ya m3 sasa simuelewi sijui karogwa huyu manzi???
Huyo mwanamke hafai kua na mwanaume Kama wewe through those mocking za kumsema msomi msomi msomi sipendi sana mtu wa namna hii, pia unahoji kuwa mama wa nyumbani kwani umeomuoa akiwa na kazi pia sikasema anataka Biashara kwanini umfunguliiMimi ni mtu wa safari lkn anawivu sana anaona nikisafiri nitatamani madem wa nje aisee nashindwa kumuelewa. Yaan nimeoa msomi alafu kageuka kuwa mama wa nyumbani WTFππ»
Jipige wewe chini utamkondesha kwanza wewe darasa la saba una haki ya kuishi na wasomiWadau uwanja ni wenu nipige chini au nifanye nn kifungo kikubwa ni ndoa bwana tena ya kanisani.
Bro mwanamke kachange kwenye ndoa lkn kabla alikuwa na sifa zote zimpasazo wife materialKama hivi ndio vigezo ulivyoangalia kumchagua huyo mwanamke uliyemuona wife material ulifeli sana
Acha uvune ulichopanda bado una akili za kivulana
Huyu akianza kazi utalia tena maana huko lzm atafunwe kisawasawa kurudi nyumbani mapema sahau , simu kutopokelewa kitu cha kawaida mpaka saa sita uck yupo kikaoni hahahaha
Wanaume jaman tunashindwa na mambo madogo sana
Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
Kama unataka afanye kazi very simple tu we mtafutie kazi , lkn hakikisha unamfanya apate maisha magumu kidogo harafu lzm akubaliMimi sina wivu ila kwa yeye kukaa nyumbani na anataaluma sio kweli kabisa..kuhusu kutafunwa hata akiwa nyumbani atatafunywa tu hiyo ni tabia
Bro vp unamtaka au?? Sijashindwa kumuhudumia na sishindwi miaka mia. Ninavyomuona mke wangu ni mvivu biashara hawezi mimi nina miaka zaidi ya kumi nafanya biashara so nalijua game. Na sishindwi kumfungulia hata kama ni biashara ya 50mil lakini ni kama kutoa sadaka kwa uvivu wake itafirisika.Kulikua hakuna sababu ya wewe kusema hujutii na blablaa zingine at any Time T munatafuta loop hole ya kusema wasomi, pia unhesema wewe Form Six tu
Kwenye umri huo wa 30's hata kama ulikua bado huna mpango wa kuoa but ilibidi uwe na mtu tayari just in case
π€π€
Wewe sio msomi na umefika chuo wewe ni msomi usikimbie kama unataka usiwe msomi jiite Form Six leaver kujiita University Dropout ni sitaki nataka
π€π€
Seriously unataka mkeo atafute kazi, Sasa ili faida ya wewe kuacha chuo hili kufanya Biashara siumejipata ndio umfungulie Biashara sasa wewe unataka aombe kazi sijui hotcake kasome hio kozi hotcake na wewe then uanze kuomba kazi Kama rahisi ninyi Schoolless munaona mambo rahisi
Huyo mwanamke hafai kua na mwanaume Kama wewe through those mocking za kumsema msomi msomi msomi sipendi sana mtu wa namna hii, pia unahoji kuwa mama wa nyumbani kwani umeomuoa akiwa na kazi pia sikasema anataka Biashara kwanini umfungulii
Jipige wewe chini utamkondesha kwanza wewe darasa la saba una haki ya kuishi na wasomi
Connection ya kazi anayo na hata akitaka kesho tu anaanza kazi. Nyumbani kwao wanavitengo na alikuwa anafanya intern kwenye taasisi ya kwaoKama unataka afanye kazi very simple tu we mtafutie kazi , lkn hakikisha unamfanya apate maisha magumu kidogo harafu lzm akubali
Lkn nakuhakikishia utalia
Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
π π π π π πSio poa...
Seems uko na chuki kali zidi ya waliosoma ndio maana kwenye kila sentensi unaandika neno "Msomi" ndio maana nikatumia Brutal force zidi ya chuki yako.Bro vp unamtaka au?? Sijashindwa kumuhudumia na sishindwi miaka mia. Ninavyomuona mke wangu ni mvivu biashara hawezi mimi nina miaka zaidi ya kumi nafanya biashara so nalijua game. Na sishindwi kumfungulia hata kama ni biashara ya 50mil lakini ni kama kutoa sadaka kwa uvivu wake itafirisika.
Lkn pia naona unachuki na sisi darasa la saba bro what matters ni pesa sio elimu. Wasomi wengi hawana hela fullstop acha ujuaji na ka masters kako.
Upumbavu wako umeanzia hapo. Kwahiyo ulikuwa unasoma kwa faida yako au kujifananisha na wenzako? Kimsingi acha kuwa mpumbavu. Mkeo hana tatizo lolote ila wewe kaolewa na mpumbavu.elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu,
Ebwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu, so nilijikita kwenye kusafiri na biashara kibishi sana and it took so long kujitafuta so nilipo fika early 30's nilikuwa vizuri tu sema nilikuwa sitaki kuoa ili niufaidi ujana kutokana kwamba ujana wangu mwingi nilikuwwa mpambanaji so sikuzichakata vizuri but mwaka jana mwanzoni wazee wakaniweka mtu kati nioe.
Sikuwa na jinsi but mtihani ukaja nimuoe nani maana madem zangu wote kila nikiwapima naona sio wife material bas kuna dem mmoja I know her kwa mda mrefu kidogo kwao ni financially stable na pia ni msomi ndio alikuwa amemaliza masomo ya nje ya nchi mwanamke mzuri kwelikweli pia alikuwa mkubwa kiumri maana alikuwa abv27 so nikajaribu karata yangu bwana kama zali vile mtt akajaa kwenye 18 ukizingatia nilikuwa willing kuoa.
Sikulaza dam nikatoa mahali na kufunga harusi chapu by then dem ndio alikuwa intern.
Mambo yamebadilika sana baada ya kuoa binafsi nilipenda sana kuoa mwanamke msomi as mimi sio msomi ili iwe motivation kwa makid wangu lakini pia kwenye uchumba huyu manzi alinishawishi maana alikuwa anajituma hata kwenye kazi ndogondogo za hom lkn pia aliniweka kwenye mstari maana mimi ni bad spender mpaka home wakasema huyu ndio mwanamke sasa msomi kwelikweli na anajielewa (sitoongelea fani yake lkn ni very hotcake).
Baada ya kuoa sasa mambo nilio yakuta ni opposite aisee kwanza uvivu huu alionao sijawahi kuuona tangu nizaliwe we have a kid lkn huyu kid kawa wa beki tatu manzi anachat tu na tiktok asubuhi mpaka jioni, chaajabu sasa hataki kutafuta kazi kisingizio eti anawito wa biashara nikimuangalia kwa huu uvivu biashara hawezi lkn pia biashara sio kigezo cha kuto kufanya kazi na kwa fani yake kama atafanya kazi hawezi kulipwa chini ya m3 sasa simuelewi sijui karogwa huyu manzi?
Mimi ni mtu wa safari lkn anawivu sana anaona nikisafiri nitatamani madem wa nje aisee nashindwa kumuelewa. Yaan nimeoa msomi alafu kageuka kuwa mama wa nyumbani WTFππ»
Wadau uwanja ni wenu nipige chini au nifanye nn kifungo kikubwa ni ndoa bwana tena ya kanisani.
Kazi kwelil kweli, yaaan unaowa ili aje akusaidie maisha sasa uwanaume wako nini. Hujuwi kama mkeo ni pambo la nyumba, kama ulitaka msaidiane maisha mnge kubalianaa kabdaEbwana baada ya kuuchoka ubachela nikaona nivute goma binafsi elimu yangu ni university dropout so sina professional but sijutii maana niliosoma nao wengi ganga njaa tu, so nilijikita kwenye kusafiri na biashara kibishi sana and it took so long kujitafuta so nilipo fika early 30's nilikuwa vizuri tu sema nilikuwa sitaki kuoa ili niufaidi ujana kutokana kwamba ujana wangu mwingi nilikuwwa mpambanaji so sikuzichakata vizuri but mwaka jana mwanzoni wazee wakaniweka mtu kati nioe.
Sikuwa na jinsi but mtihani ukaja nimuoe nani maana madem zangu wote kila nikiwapima naona sio wife material bas kuna dem mmoja I know her kwa mda mrefu kidogo kwao ni financially stable na pia ni msomi ndio alikuwa amemaliza masomo ya nje ya nchi mwanamke mzuri kwelikweli pia alikuwa mkubwa kiumri maana alikuwa abv27 so nikajaribu karata yangu bwana kama zali vile mtt akajaa kwenye 18 ukizingatia nilikuwa willing kuoa.
Sikulaza dam nikatoa mahali na kufunga harusi chapu by then dem ndio alikuwa intern.
Mambo yamebadilika sana baada ya kuoa binafsi nilipenda sana kuoa mwanamke msomi as mimi sio msomi ili iwe motivation kwa makid wangu lakini pia kwenye uchumba huyu manzi alinishawishi maana alikuwa anajituma hata kwenye kazi ndogondogo za hom lkn pia aliniweka kwenye mstari maana mimi ni bad spender mpaka home wakasema huyu ndio mwanamke sasa msomi kwelikweli na anajielewa (sitoongelea fani yake lkn ni very hotcake).
Baada ya kuoa sasa mambo nilio yakuta ni opposite aisee kwanza uvivu huu alionao sijawahi kuuona tangu nizaliwe we have a kid lkn huyu kid kawa wa beki tatu manzi anachat tu na tiktok asubuhi mpaka jioni, chaajabu sasa hataki kutafuta kazi kisingizio eti anawito wa biashara nikimuangalia kwa huu uvivu biashara hawezi lkn pia biashara sio kigezo cha kuto kufanya kazi na kwa fani yake kama atafanya kazi hawezi kulipwa chini ya m3 sasa simuelewi sijui karogwa huyu manzi?
Mimi ni mtu wa safari lkn anawivu sana anaona nikisafiri nitatamani madem wa nje aisee nashindwa kumuelewa. Yaan nimeoa msomi alafu kageuka kuwa mama wa nyumbani WTFππ»
Wadau uwanja ni wenu nipige chini au nifanye nn kifungo kikubwa ni ndoa bwana tena ya kanisani.
Siitaji msaada wake lkn siitaji mke golikipa na mvivu hiyo ndio topic sasa ilo la msaada sijui umelitoa wapiKazi kwelil kweli, yaaan unaowa ili aje akusaidie maisha sasa uwanaume wako nini. Hujuwi kama mkeo ni pambo la nyumba, kama ulitaka msaidiane maisha mnge kubalianaa kabda
Basi hukujipa muda kumfahamu vizuriBro mwanamke kachange kwenye ndoa lkn kabla alikuwa na sifa zote zimpasazo wife material
Vp mbona povu mada sio mm kusoma au kuto kusoma elewa mada kwanza kabla ya kujenga hoja nilishaacha matusi ila ulipaswa kushushiwa kitu kizito assholeUpumbavu wako umeanzia hapo. Kwahiyo ulikuwa unasoma kwa faida yako au kujifananisha na wenzako? Kimsingi acha kuwa mpumbavu. Mkeo hana tatizo lolote ila wewe kaolewa na mpumbavu.
Sasa kama hutaki msaada wake kwanini unalala mika mvivu,Siitaji msaada wake lkn siitaji mke golikipa na mvivu hiyo ndio topic sasa ilo la msaada sijui umelitoa wapi