Nataka kupiga chini huyu mwanamke

Mkuu huna mke mbaya...kuna kitu hakipo sawa kwako
 
Umuache mwanamke kwa sababu za kijinga ivo jamaa...ingekua mzinzi happy haina mjadala..ila hayo unaweza yarekebisha..unless wewe uwe juma lokole type
 
Nyumbani imebidi niwafungie intenet unlimited.. maana hela za chakula zilikuwa zinanunuliwa mabando tu. Tunakula majani mengi kama mbuzi
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwa haraka haraka unaeza sema hii story ni kweli. Kumbe ni uongo mtupu.
 
Mwache akae hvyo hvyo Hadi azeeke mm was hvyo fresh tu namuavha na uvivu wake
 
NDOA NDOA NDOA
ni utapeli mkubwa, wizi, kutafuta stress zisizo na msingi, ndoa ni kifungo
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO
 
Nilishafanya vikao vingi ndugu..alishakataa offer ya kazi baada tu ya internship..ajira kwake yeye sio shida kupata mzee wake alishampa kitengo akatosa mpaka nikaonekana mimi ndio ninamzuia kufanya kazi
Duh pole ila angalia anataka nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…