Sasa huo mwamvuli atajifunikajeUshaur wangu beba oil lita 2 kwenye beg;chukua kidumu cha lita 1 kwa ajili ya emergence,usisahau kuvaa makoti makubwa ya kuzuia upepo pamoja na buti,chukua mwamvuli njian hakutabiriki last hakikisha unapumzisha pikipiki atleast kwa kila km 300 pamoja na kuzingatia sheria za barabaran hususani site mirror
Seriously!?Hata mbinguni zinaenda muhimu kuwepo na barabara,na kote ulikokutaja zinafika kwa masaa matatu.
Nyie wanawake hamuwezi kuendesha pikipikiNakushauri pakia hio bodaboda kwenye roli utajiletea majanga tu manake issue sio kufika issue ni uzoefu wa kuendesha mda mrefu tena highway kumbuka una pishana na heavy trucks barabarani pia uchovu utakupa tabu sana, nisha wahi endesha gari toka Arusha to Mwanza nikatubu njiani najiuliza kwa boda boda itakuaje ? Japo inawezekana lkn ujiandae kwa lolote
Mkuu anaweka kwenye beg emergence kama mvua anasimama anajikinga maana ikiwa kali hawezi kuendeshaSasa huo mwamvuli atajifunikaje
Ushauri wangu wakati unaanza safari waambie kule unakoenda waanze kuchonga jeneza
ushauri mzuri sana wa kitaakam japo hapo mwisho umenivunja mbavu[emoji23][emoji23][emoji23]ingekuwa pikpik ya timing chain kama boxer TVS hlx au SINORAY ungefika mapema kuliko bus...kuna jamaa yangu katoka dar juzi saa mbili asubuhi kumekucha na SINORAY ya timing chain kafika NJOMBE saa tisa alasiri umba ni km 700 alitumia takriban masaa 7...timing chain haitetemeshi wala hauchoki unakuwa na mwendo wako wastani kama 100kph unafika mapema kabisa
...ila hiyo sun lg utajuta utaomba kupakia njiani kwenye maroli maana full vibration hata manyoni hufiki utakuwa ushapigwa ganzi
Nakushauri pakia hio bodaboda kwenye roli utajiletea majanga tu manake issue sio kufika issue ni uzoefu wa kuendesha mda mrefu tena highway kumbuka una pishana na heavy trucks barabarani pia uchovu utakupa tabu sana, nisha wahi endesha gari toka Arusha to Mwanza nikatubu njiani najiuliza kwa boda boda itakuaje ? Japo inawezekana lkn ujiandae kwa lolote
MKuu pikipiki yako inafika ila shida haina vifaa vinavyoisaport kufika,
Mfano unaweza kupasua tairi kama mara mbili hadi ufike, kwa tairi hizo kwa umbali wa km 300-400 kwenye lami tairi haitakuwa yenyewe,
Pia Mnyororo utazingua sana means unaweza katika hata mara tatu kama utakuwa unaunga huohuo
Pia Hiyo pikipiki ina vibration kubwa ambazo zinazidi uwezo wa spring sio nzuri kwa masafa marefu
Pia injini yake inachemka sana mkuu unaweza jikuta ikabust hata ukiwa na mapumziko must upumzishe chombo kwa takribani saa moja na nusu kabla ya safari kuanza tena
Pia sina uhakika mavazi utakayotumia kama yako sahihi sio mambo ya kukariri kuvaa sijui majaketi mazito sijui nini noo
Kuna helment nzuri sana zinazotumika kwa masafa marefu na hazitoki na hiyo pikipiki yako unanunua tu pembeni uziri wa hii helment nikwamba ni imara sana pia inakuwekea mfumo mzuri wa kupumua haikutengenezei joto kama zilizyo zingine
la hatari sina uhakika na uzoefu wa safari ndefu kwa pikpik unahitaji uzoefu kwa usalama wako
bila kupepesa macho unaweza kujikuta unalala hapo hapo juu ya chombo na bado kinatembea na ukija kuamka unajikuta upo ahera
Ushauri DONT TRY THIS MKUU
Unafamilia na Ndugu wanakutegemea na Bado Wanakuhitaji Sana
Pia Sisis Wana JF bado tunakupenda Mno
Mwanza-Moro siku 4!Hako kapikipiki hafiki nako mbali kanachemka hasa awe na pesa za kutosha kula njiani mbio asizidi kilomita 50 kwa saa .Mnyororo atembee nao mwingine mpya .Kila akienda kilomita 80 Akapumzishe walau masaa mawili akifika kilomita 160 alale aamuke nako kesho katulie kapigwe upepo na serivice
Aya tumesha jua upo kwenye ndege mkuuHahahahahaha nimecheka kwa sauti kwenye ndege yaan daaa
Usihoj wapi
Hivi pale nanganga ni masasi au lindi??kuna jamaa yangu alishawahi kutoka nanganga masasi hadi Dar kwa sanlg ila yake ni 150cc.kazi kwako!
Mnapoandika ushuhuda wenu,punguzeni chumvi.ingekuwa pikpik ya timing chain kama boxer TVS hlx au SINORAY ungefika mapema kuliko bus...kuna jamaa yangu katoka dar juzi saa mbili asubuhi kumekucha na SINORAY ya timing chain kafika NJOMBE saa tisa alasiri umba ni km 700 alitumia takriban masaa 7...timing chain haitetemeshi wala hauchoki unakuwa na mwendo wako wastani kama 100kph unafika mapema kabisa
...ila hiyo sun lg utajuta utaomba kupakia njiani kwenye maroli maana full vibration hata manyoni hufiki utakuwa ushapigwa ganzi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji848][emoji848][emoji848]kweli mzee haumini nini hapo juuMnapoandika ushuhuda wenu,punguzeni chumvi.
(Kauli taarifa)